Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Nenda ukaonyeshe kidole gumba Ar uone utakavyoraruliwa marinda..
Tulishawaambia nyie nzi wa kijani kwa Arusha hamna chenu, ila kwa kuwa akili zenu amezishika polepele basi mnajipa matumaini..
 
Maskini kumbe alitaka pesa ya kulipa madeni?
 
dawa ya deni kulipa.ukitafuta huruma kwa watawala kwa kuwalamba nyayo haisaidii.si atumie ule mgao kulipa madeni ?
 
Wote hao wamepewa hongo na Nassari na Lema, ushahidi usio na mashaka upo.
 

Wanaharakati nao buana, sasa Dini na Siasa wapi na wapi, kwani hilo ni kanisa la chadema?
 
kwa hiyo wao walimstiri na madeni kwa sababu yupo chadema, alivyoondoka wameamua kumwaga siri zake njenje!
sijui lini mtaacha unafiki nyie watu,
 
Kama ni hivyo kabisa la mlima wa MTO wangeondoka wote. Alikuwa anadaiwa tu. Sio sababu za itikadi.
 
Nenda ukaonyeshe kidole gumba Ar uone utakavyoraruliwa marinda..
Tulishawaambia nyie nzi wa kijani kwa Arusha hamna chenu, ila kwa kuwa akili zenu amezishika polepele basi mnajipa matumaini..

Mkuu kwani Ugomvi? au umebanwa na haja kubwa pengine huko chooni umekuta kuna Njemba imekuwahi sasa hasira zote unataka kuzimalizia Kwangu katika hiyo Simu yako unayoitumia hapo ukiwa umesimama karibu na Mlango huku ' Nnya ' ikiwa inakuja, inagonga ' Nyero ' na inarudi ilipotoka?
 
Tundulissu alisema tutanyamaza tu tukifa, hii ya kumfukuza nyumba haitamzuia kutetea wanyonge.
Wanyonge gani wanatetewa kwa utapeli, ulaghai na uzandiki. Kweli siku ya Mwisho kama IPO tutaumbuka kwa Picha kuwekwa live!!! Tutashihudia matapeli waliojiita wachungaji na kuibia waumini wakiungulia na kigugumia kwa uchungu wa moto wa milele. Mchungaji Chadema then Ccm then kutolipa kodi then madeni lukuki wapi na wapi? Mungu anawaona nyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…