Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mimi tena nimwambie? Dude are you serious?mwambie anione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi tena nimwambie? Dude are you serious?mwambie anione
Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
Nenda ukaonyeshe kidole gumba Ar uone utakavyoraruliwa marinda..Yeye katishia Kujamba Watu wameukweka / wamekunya kabisa. Hakuna Watu ambao huwa nawaamini kwa maamuzi magumu na ya mwisho kama wa Mkoa wa Arusha. Pamoja na ujanja wangu na uchakaramu wangu wote huwa nikienda Mkoani Arusha huwa nakuwa na adabu zangu zote mpaka siku ninayoondoka.
usiamini siasa sana, Kama ni waumini wamefuata mungu sio siasa.Unafikiri kwanini hawakumhama kabla hajafanya maamuzi magumu?
Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu

Embu nenda kajisaidie huko....phewww[emoji36]Sasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
Tatizo so madeni mkuuu ,,yatizo ni alipewa ili aeaongoze,Leo anaacha udiwani ,,wananchi wanadaiSasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
kwani ni sumay pekee mwenye mashamba makubwa yasiyoendelezwa ?????kwa hiyo wao walimstiri na madeni kwa sababu yupo chadema, alivyoondoka wameamua kumwaga siri zake njenje!
sijui lini mtaacha unafiki nyie watu,
Pumbafu kabisa....dini na siasa ni chanda na peteee....usiamini siasa sana, Kama ni waumini wamefuata mungu sio siasa.
Nenda ukaonyeshe kidole gumba Ar uone utakavyoraruliwa marinda..
Tulishawaambia nyie nzi wa kijani kwa Arusha hamna chenu, ila kwa kuwa akili zenu amezishika polepele basi mnajipa matumaini..
Wanyonge gani wanatetewa kwa utapeli, ulaghai na uzandiki. Kweli siku ya Mwisho kama IPO tutaumbuka kwa Picha kuwekwa live!!! Tutashihudia matapeli waliojiita wachungaji na kuibia waumini wakiungulia na kigugumia kwa uchungu wa moto wa milele. Mchungaji Chadema then Ccm then kutolipa kodi then madeni lukuki wapi na wapi? Mungu anawaona nyote.Tundulissu alisema tutanyamaza tu tukifa, hii ya kumfukuza nyumba haitamzuia kutetea wanyonge.