Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Jamaa kajidharirisha sn kumbe ni mchungaji afu yuko cheap kiasi ikoSasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Mlipaji amegoma kulipa baada ya idadi aliyoambiwa kutokamilika na kuishia kutukana "pumbavu kabisa"Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Mlipaji amegoma kulipa baada ya idadi aliyoambiwa kutokamilika na kuishia kutukana "pumbavu kabisa"
katika Mikoa watu wanaojielewa ni Arusha na MbeyaNenda ukaonyeshe kidole gumba Ar uone utakavyoraruliwa marinda..
Tulishawaambia nyie nzi wa kijani kwa Arusha hamna chenu, ila kwa kuwa akili zenu amezishika polepele basi mnajipa matumaini..
Pia tukumbuke wamegundua wanaongozwa na TapeliHao hawakuwa waumini wa mungu ila walikuwa wanaenda kisiasa ndo maana mabadiliko ya kisiasa yamewahamishia kwingine
Kabisa mkuu...katika Mikoa watu wanaojielewa ni Arusha na Mbeya
Hilo linaweza likawepo lakini kiimani huwa tunasema piga magoti zungumza na mungu akupe nini cha kufanya kwa hapo sina uhakika kama wote wamesikia sauti ya mungu au wamepitia na upepo ulio waleta wameondoka naoPia tukumbuke wamegundua wanaongozwa na Tapeli
Naomba nikulize Mchungaji wa Kiroho anakunywa Konyagi?Hilo linaweza likawepo lakini kiimani huwa tunasema piga magoti zungumza na mungu akupe nini cha kufanya kwa hapo sina uhakika kama wote wamesikia sauti ya mungu au wamepitia na upepo ulio waleta wameondoka nao
Suala la nani ni kilaza zaidi, naawachia nyie wakereketwa.vilaza zaidi ni pale unapotumia hela na ofisi ya umma kutoa Rushwa
Swala la kunywa konyaji ni maisha yake binafsi maana nae ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine lakini linapo swala la kiroho Mimi natakiwa kuzungumza na mungu anipe cha kufanya na sio kufuata mkumboNaomba nikulize Mchungaji wa Kiroho anakunywa Konyagi?
kabla sijakujibu utapeli unaruhusiwa duniani na hata Mbinguni?Swala la kunywa konyaji ni maisha yake binafsi maana nae ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine lakini linapo swala la kiroho Mimi natakiwa kuzungumza na mungu anipe cha kufanya na sio kufuata mkumbo
Labda nikuulize wewe kupitia imani yako je nisahihi kuhukumu ?
Ha ha ha!!! Hawajampa hela akalipe madeni yake?Na Mwanahabari Huru
Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.
Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.
Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
hakuna cha ukereketwa ni ukweli tuSuala la nani ni kilaza zaidi, naawachia nyie wakereketwa.
kuweka kumbukumbu sawa "CCM na Maigizo ni sawa na nyoka na Majani"Ha ha ha!!! Hawajampa hela akalipe madeni yake?