Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Hao hawakuwa waumini wa mungu ila walikuwa wanaenda kisiasa ndo maana mabadiliko ya kisiasa yamewahamishia kwingine
 
Nenda ukaonyeshe kidole gumba Ar uone utakavyoraruliwa marinda..
Tulishawaambia nyie nzi wa kijani kwa Arusha hamna chenu, ila kwa kuwa akili zenu amezishika polepele basi mnajipa matumaini..
katika Mikoa watu wanaojielewa ni Arusha na Mbeya
 
Pia tukumbuke wamegundua wanaongozwa na Tapeli
Hilo linaweza likawepo lakini kiimani huwa tunasema piga magoti zungumza na mungu akupe nini cha kufanya kwa hapo sina uhakika kama wote wamesikia sauti ya mungu au wamepitia na upepo ulio waleta wameondoka nao
 
Naomba nikulize Mchungaji wa Kiroho anakunywa Konyagi?
 
Naomba nikulize Mchungaji wa Kiroho anakunywa Konyagi?
Swala la kunywa konyaji ni maisha yake binafsi maana nae ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine lakini linapo swala la kiroho Mimi natakiwa kuzungumza na mungu anipe cha kufanya na sio kufuata mkumbo

Labda nikuulize wewe kupitia imani yako je nisahihi kuhukumu ?
 
Nilijua ni njaa tu, akikosa chakula au kikimtindikia atarudi kundini tu
 
Swala la kunywa konyaji ni maisha yake binafsi maana nae ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine lakini linapo swala la kiroho Mimi natakiwa kuzungumza na mungu anipe cha kufanya na sio kufuata mkumbo

Labda nikuulize wewe kupitia imani yako je nisahihi kuhukumu ?
kabla sijakujibu utapeli unaruhusiwa duniani na hata Mbinguni?
 
Na Mwanahabari Huru

Habari zilizotufikia Kutoka Jijini Arusha zinatanabaisha, Aliyekuwa Mdiwani wa Kata ya Kimandolu Jijini Humo Arusha zinaeleza siku Moja baada ya Mchungaji huyo mwenye kanisa lake la Kiroho ametimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa amepanga kwani anadeni linalokisiwa la shilingi milioni Tatu nanusu.

Vile vile kwenye kanisa lake lake juzi kwenye ibada ya Jumapili alipokwenda kusalisha waumini wa hilo kanisa wamemuhama na alijikuta na Wanakwaya tu ndio wapo kanisani, Kibaya zaidi kundi la wanaume na wanawake walimfuata na kumtishia kumpeleka polisi kwa kile wanachodai ni pesa nyingi alizochukuwa kwao kwa mkopo.

Juhudi za Kumtafuta diwani huyo kutwa leo zimezaa matunda kwani alikuwa hapatikani kwenye simu tokea alivyojiunga na Chama cha mapinduzi, Mwanahabari huru alivyomtafuta amempata na baada ya kumumuliza maswali hayo hapo juu amesema siwezi kujibu lakini nikweli nadaiwa na kukata simu
Ha ha ha!!! Hawajampa hela akalipe madeni yake?
 
Back
Top Bottom