Arusha: Aliyekuwa Mgombea wa Ujumbe katika Serikali ya Mtaa akutwa kwake akiwa amefariki huku akiwa na alama kukatwa shingoni

Watu wanauawa tu afu kuna jamaa hapo anajiita ndo occid sijui kazi yake kukamata na kubambikizia vijana kesi ili apewe pesa...week jana kakamata vijana sita hapo town bila sababu yeyote et wanahusika na wizi wa laptop...kawashikilia kwa siku nne bila kuwapeleka mahakamani ili utoke lazima ulipe laki tano bila hivyo utoki..Kamanda wa polisi mkoa na Lema waangalie hili vijana wanateseka sana kwa jamaa ya hawa jamaa aisee.
 
Mwenye Ile video ya RC Gambo akihamasisha wana CCM Arusha wafanye vurugu aiweke hapa ili twende sawa.
 
Taarifa inasema inahisiwa kitu chenye ncha kali hii inamaanisha kilichotumika hakijulikani. Ila askari anasema anaweza kua amejiua.

Ok so ni binadamu wangapi wanaweza kujiua kwa kujichoma na kitu na kisha kukificha hicho kitu? Na kama lengo ni usijue kua amejiua kwanini asitibue chumba ili kuaminisha kua ni uvamizi?

Mimi siyo askari ila sidhani kama kifo kikitokea RPC anachopaswa ni kuwaita waandishi wa habari ili asikilize maswali yao kama Lema anavyodai.
 
Halafu utasikia eti MAGUFULI NI CHAGUO LA MUNGU!!!LABDA MUNGU WA KUZIMU WA KUKUBALI MTUMISHI WAKE AONGOZE MAUMIVU KWA WENGINE WANAOMKOSOA!!!
 
Ukweli anaujua yeye na Mungu wake kama ameuwawa au amejiua...

Lkn mtu mpk anagombea ujumbe, sidhn km alikuwa na mafikirio ya kukatisha uhai wake..

Siasa ni mchezo mchafu, ukiingia uwe umejitayarisha kufa au kupona...

Apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…