Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,673
Watu wanauawa tu afu kuna jamaa hapo anajiita ndo occid sijui kazi yake kukamata na kubambikizia vijana kesi ili apewe pesa...week jana kakamata vijana sita hapo town bila sababu yeyote et wanahusika na wizi wa laptop...kawashikilia kwa siku nne bila kuwapeleka mahakamani ili utoke lazima ulipe laki tano bila hivyo utoki..Kamanda wa polisi mkoa na Lema waangalie hili vijana wanateseka sana kwa jamaa ya hawa jamaa aisee.