Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Aliyekuwa diwanu na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Ally Bananga amerejea CCM leo jijini Arusha.

Bananga ameomba msamaha kwa Rais Samia na wanaccm wote kwa mambo yote ya hovyo aliyowafanyia akiwa Chadema.

Source: ITV
Imfikie sabaya huko jela
 
Ndani ya Chadema siyo rahisi kumpata mtu asiye na chembechembe za CCM labda hawa madogo wa juzi Tindo, Babati na Mmawia.

Chadema ni CCM B
CCM B INGEPEWA KESI YA UGAIDI? CCM MAWAKALA WANGEZUILIWA NA POLISI SIKU YA UCHAGUZI KWAMBA WAMECHELEWA?
 
Alafu utakuta watu humu mnatukanana mitusi mikubwa mikubwa kisa ccm na chadema.
Bora nibaki sina chama.
 
Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Wanasiasa kama wasemaji wa timu....
Ref. Haji Manara
 
Uncle Magu alifeli mno kufunua utupu wa wanasiasa hapa nchini sasa tunajua hakuna kiongozi mzalendo bali kuna vibaka na mafisadi tu
 
CCM ni Wajamaa ?; CCM walikuwa Wajamaa, Ujamaa wao umebaki kwenye maandishi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…