Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

haiwezekani kabisa Mimi niswage huku unauza ng'ombe na ukiuza unakula na wanao baba ukiambiwa eti mkubwa ,mkubwa kwake na familia yake .........una umri miaka 45 au 47 bado unatamani kupigana na mtu miaka 20 na huna mazoezi yakutosha !

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kisu hakina mazoezi ni timing
 
Baba mjinga, alishindwa kuweka sawa mambo ya familia wasingepigana
 
Ukisikia wanawaachia wazee wa ukoo ujue hapo ataadhibiwa kwa kuchapwa fimbo 70
 
Hii roho ya mauaji Mungu atunusuru nayo

Shetani ameamua kututumia na atutumie tena




Tuombe sana na kufuata mapenzi ya Mungu ili kuishinda roho ya mauti inayotembea kwa kasi sana ili kushindana na roho ya uhai roho ya Mungu. Yaani kuzimu imefungua mdomo kumeza... tuombeane rehema za mungu

Ufunuo 6:4
"Akatoka farasi mwingine, mwekundu sana, na yeye aliyempanda alipewa kuiondoa amani katika nchi, ili watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa."
biblia inatumika vibaya sana.
 
Wafia DINI kwa unafiki 😂😂😂
Roho ya Mauaji hiyo leo ndo iwe gumzo kwamba ndo tumeanza kuuana?
Kama tunaongelea mambo ya mauaji basi kizazi cha sasa ndo angalau kina USTAARABU kwenye matukio ya kutisha ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya binadamu tena ukizingatia idadi ya watu kwa zama husika..
 
Back
Top Bottom