ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Sasa mbona stori yenyewe haijakamilika? Alifanyaje mpaka takukuru wakaingia? Walimwonyesha search warrant? nk
Hayo ni maelezo kwa kifupi tu kwa vile maandishi alitaka kueleza kuhusu maafisa wa Polisi waliofukuzwa kazi. Stori yenyewe ni ndefu kidogo hadi taarifa zilivyowafikia Takukuru na jinsi hao maafisa walivyokamatwa.
 
mtu kakaa mpaka ikulu alafu unambambikia kesi[emoji23] ,mzee hata hapo kawahurumia yeye ilikuwa ni simu moja tu anapiga ikulu
Mzee alishawashtukia ndiyo maana akawaacha warukeruke weee, alishafahamu watakwenda kudondokea wapi?? Na hapo ndipo patakapokuwa mwisho wao.
 
Sasa watoto wote wako nje ya nchi, nani atakusaidia?
 
Mzee alishawashtukia ndiyo maana akawaacha warukeruke weee, alishafahamu watakwenda kudondokea wapi?? Na hapo ndipo patakapokuwa mwisho wao.
😅masela wamekwaama,ila hiyo pesa wangepiga wangeambulia hata 5m kila mtu, hawawez kula wao yote bila kuwapa wakubwa
 
Wakomae wapi wewe kibatala ni mwizi tu km wezi wengine wa serikali.hapo hiyo kesi nenda rudi kwake yeye ndio anataka posho.
Bila kesi huyo jamaa hali.
Kumbe na ni POPOMALISM..very sad Mkuu jitambuwe
 
Hayo ni maelezo kwa kifupi tu kwa vile maandishi alitaka kueleza kuhusu maafisa wa Polisi waliofukuzwa kazi. Stori yenyewe ni ndefu kidogo hadi taarifa zilivyowafikia Takukuru na jinsi hao maafisa walivyokamatwa.
 
Hili jambazi Sabaya, sijui kama hapa Duniani, kutapatikana adhabu itakayoendana sawa na uovu wake.
"saa mbaya" inasemekana miaka mingi tu ni "mvaa kaunda" so unaweza kukuta ni kweli na jamaa yupo kwenye kazi maalumu hata kupelekwa jera ni kuwachezea chama kile huku mwenyekiti wao akibambikwa
huwa nawashabgaa sana watu humu kunahukuru "bibi" kumfunga "saa mbaya" wanasahau bibi ndiye kamfunga mwenyekiti
 
Huyu askari ni afande Jumanne, sijui kama ataapishwa mahakamani maana alikula kiapo cha uaskari lakini kakivunja! Je, mahakama itamuamini kwenye hiki kiapo cha muda mfupi? Nadhani akina kibatala watapinga kuapishwa kwake.
Wanamsubili kwa hamu Sana
 
Ila mzee nae alienda speed sana akaenda bank na kutoa pesa.
Huyo mzee kuna mengi kaficha, amedai kastaafu miaka ya 2000 na kiinua mgongo wake aliweka bank na ndicho hicho kawapa lakini siku kadhaa nyuma pia alitoa pesa Bank
kwa inavoonekana mzee ana pesa nyingi,polisi walijua hili vizuri ndio mana walimfuata na mzee lazima anamjua aliyemuuza kwa askari wambambikie kesi
 
hapa ndipo tulipokuwa tumefikishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…