ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Alisema na kuiomba serikali iweze kumrudishia kiasi cha pesa yake kwani ni kiunua mgongo cha utumishi wake wa kazi wa miaka mingi kazi.
Kuna haja ya Kupambana kufanya Biashara, na shughuli nyingine Binfasi; Kweli UNICEF, Mshauri wa Raisi, Mkufunzi wa Chuo akaunti ina 74m ??? Really??? Kama kuna Mtu ambaye ana more than 100M+ ambayo hiyo iko pending tuu...!! hapo hakuna mambo ya kustaafu na anaendelea kukua na kukuza business
 
Sijakuelewa unachoshangaa na kujiuliza.
 
Duh hao polisi walimgusa mtu ambaye hawakumjua, Prof huyo lazima atakuwa na connection.

Sasa polisi hao wamembambikia nyara hizo ili wamtemeshe pesa dah.

Ova
Hao askari walikuwa wazembe sana Prof. alikuwa mshauri wa Rais, pale magogoni palikuwa kama nyumbani kwake bado wakawa na koromeo la kumtisha na kumuomba RUSHWA?

Ngoja sasa wapate stahiki yao ya miaka 20 jela kila mmoja πŸ˜”
 
Hao polisi wameingia siko
Kuna tetesi, wamemtuma mtu
Kumuomba msamaha mzee sasa
Mziki unakuja kuna polis mmja naskia
Kala kona, mzee anataka hela zake zirudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Waligusa sehemu isiyo level yao πŸ˜‚
 
piga tena umbwa hao na bado hawasikii tuu kuna hawa wanakaba vimiatano na buku huko barabarani yaani hawaangalii bajaji wala boda boda yani hata ukiingia kwenye anga zao na baiskeli yako ya mazoezi wanataka muamala tu hawajali chombo cha moto wala cha baridi, maaneeneeerrrrrrrrrrr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…