ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Dhuruma, umalaya na wizi ni laana ambayo polisi waluo wengi itawamaliza. Wamrudie Mungu.
 
Nchi imeoza.

Wangapi wamefanyiwa ushenzi huu bila kuweza kukanusha kwa mafanikio?
Mdude alipenyeshewa mtoto wa Ki-Iraq ana nywele hadi kwenye kitako. Kumbe amebeba vitu vyake Mdude akajipigia mzigo asbh wanazengo wanakuja na search warrant na kumnasa na drugs.... kabaki anashangaa kuja kuhamaki mtoto wa Ki-iraq kumbe ndo ameleta kimeo!!
 
Wawindaji wa siku nyingi tuna kanuni zetu, ukitaka kula kila kitu unaweza kula nyama unayopewa kirahisi tu, kumbe imewekewa sumu.
 
Aisee huyo Prof namfahamu mimi walinifata walikua wanataka pick up na tractor kwa hela waliyopanga nikawashauri waagize UK tractor na pick up wapate toyota sio cruiser maana shamba lenyewe sio la kuwa na gari ngumu nadhani walifanikiwa daah yupo poa sana huyo Mzee kama wamefanya dhuluma yeyote lazima iwatokee puani...
 
Ni wanyonge wangapi wasio na uelewa wa kuripoti takukuru wamepigwa peupe na hao polisi wasio na maadili?
 
Haya maisha,ukionekana unacho kuna watu wanakuja kukutimbilisha siyo kabisa

Ova
 
Haya maisha,ukionekana unacho kuna watu wanakuja kukutimbilisha siyo kabisa

Ova
Polisi wa Arusha majambazi wengi sana mbaya zaidi mchongo unaanzia bank wanakuja huku wakijua una shilingi ngapi huo mchezo hata yule Mkuu wa wilaya hai kaucheza sana kujifanya kufatilia risit za tra watu wamelia mno...
 
Hawa mahabith Mungu anawaona na bado atawashughulikia kwa kutaka kumdhuru na kumwibia mtu mwema.
 
Cc tweenty4seven
 
Mhuu!

Shkamoo Kiranga!
 
Aisee Mimi mwaka Jana nimetolewa hela kwa michezo ya kifala kama hii. Mpaka Leo NIDA ID yangu nimewaachia na hata sitaki kusikia habari zao.

Usiyefaham na ujue polisi wetu ni hatari kuliko majambazi mnaowafahamu.
 
Ndugu watanzania,kituo cha polisi usa ni laana. Pia askari wa kituo hicho wanajihusisha na kilimo cha bangi kwa kuwalinda wakulima wa bangi na usafirishaji wake. Tumeandika sana huku Jf ila IGP akisasoma huwa anapiga kimya.
Umesema kweli kabisa.Pale pameoza kabisa yan OCD anapendwa rushwa na anapanga kiasi anachotaka na wachini yake wanajua hilo.Akisema anataka laki na askari anakwambia mim nitakula nin ongeza kidogo
 
Aisee Mimi mwaka Jana nimetolewa hela kwa michezo ya kifala kama hii. Mpaka Leo NIDA ID yangu nimewaachia na hata sitaki kusikia habari zao.

Usiyefaham na ujue polisi wetu ni hatari kuliko majambazi mnaowafahamu.
Ilikuwaje

Ova
 
Poleni, ila TAKUKURU Tanga nao wana -damu jamani, wanataka kuishi kama malaika.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Dah,kweli binadamu hawana huruma yaani mzee wa watu anakula uzee wake afu wanamfanyia mambo ya laana kiasi hicho wanakomba pesa zote mpaka anaenda kukopa jamani nadhani wamepata wanachostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…