Arusha: Binti adai kuvuliwa nguo na kuchomwa na pasi na mwajiri wake

Arusha: Binti adai kuvuliwa nguo na kuchomwa na pasi na mwajiri wake

Dunia hii kuna watu wajinga sana anamtesa Mfanyakazi na hapo hapo anajisahau anakula chakula na Maji anayoyaandaa huyo anaemtesa.
Kuna mambo sio lazima uwe mtu mwema kuyafanya, unatakiwa kuwa tu na akili aisee.
 
Back
Top Bottom