binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 Aug 3, 2026 #21 Lech Poznan said: Dunia hii kuna watu wajinga sana anamtesa Mfanyakazi na hapo hapo anajisahau anakula chakula na Maji anayoyaandaa huyo anaemtesa. Click to expand... Kuna mambo sio lazima uwe mtu mwema kuyafanya, unatakiwa kuwa tu na akili aisee.
Lech Poznan said: Dunia hii kuna watu wajinga sana anamtesa Mfanyakazi na hapo hapo anajisahau anakula chakula na Maji anayoyaandaa huyo anaemtesa. Click to expand... Kuna mambo sio lazima uwe mtu mwema kuyafanya, unatakiwa kuwa tu na akili aisee.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Aug 5, 2026 #22 Smart911 said: Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Kuna watu makatili sana