Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana.
Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati ya mji.
Hivyo Leo pikipiki yake kuonekana mitaa ya Ungalimited ikiwa Kwa fundi na bodaboda wa mitaa hiyo.
Mashuhuuda wa tukio hilo wanadai kijana huyo aliyeuuwa aliuziwa pikipiki hiyo Jana na hivyo kutoa pesa nusu wakati akisubiria amalizie pesa ili akabidhiwe kadi ya pikipiki pikipiki ilikuwa inasumbua taa na hivyo kupeleka Kwa mafundi pikipiki waliopo jirani na kwake
Asubuhi ya Leo , wakati akiwa na mafundi pikipiki Asubuhi ndipo alipotokea mwanamke mmoja akiwa na kijana mmoja wakampiga spana ya jicho Hadi jicho kutoka nje na baadae kumuanguashia jiwe la kichwa huku wakimtuhumu kuwa ndie aliyeiba pikipiki hiyo hiyo na hawakutaka kusikiliza Wala kumpa nafasi ya kutoa utetezi wowote ndipo mwanamke huyo akammiminia dumu la Lita Tano la petol na kumchoma moto huku akiwa amefungwa kamba za miguu na mikono.
Tukio Hilo limeleta simanzi ya aina yake Kwa watu walioshuhudia tukio Hilo kutokana na kwamba kijana huyo alinyimwa nafasi ya kujieleza wakati sio mwizi.
Na aina ya kipigo Cha kinyama alichopata na mwishowe kuchomwa moto Kwa petrol.
Baadhi ya watu wakiwemo bodaboda ,dereva bajaji na wengineo wameshangazwa na ujasiri wa mwanamke huyo kufanya aina Hiyo ya ukatili
Polisi wamefika eneo la tukio na kuchukia mwili.