tulimbutolwe
Member
- Mar 22, 2025
- 98
- 110
kweli !!!Matumizi ya hisia badala ya akili.
Huyo mwanamke hana tofauti na ccm
kweli !!!Matumizi ya hisia badala ya akili.
Huyo mwanamke hana tofauti na ccm
TunawaogopaKwa kwelii ukinunua ndege ya wizi utakuwa kiboko.
Hivi mbona wale wanaoiba mabilion serekalini huwa hawachomwi moto.
KabisaUnaibiwa pikipiki unaipata halafu unamfanyia mtu aliyekutwa nao ubaya usiopimika halafu unaenda jela. Huko ni kukosa akili.
Bila shaka ww ni mtoto wa mudi.Mwizi dawa yake kifo sababu ukimzuia kwenye harakati zake za kuiba Hana huruma na wewe utaimba hallelujah
Kwa sababu wizi wao Una ulinzi MKALI.Kwa kwelii ukinunua ndege ya wizi utakuwa kiboko.
Hivi mbona wale wanaoiba mabilion serekalini huwa hawachomwi moto.
...Huyo atakua mwizi tu au anajua mchongo wote
Umetoa taarifa kwa simanzi sana kumbe mwanzo ulikuwa na nafasi ya kumtetea lakini ukapuziaTukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana.
Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati ya mji.
Hivyo Leo pikipiki yake kuonekana mitaa ya Ungalimited ikiwa Kwa fundi na bodaboda wa mitaa hiyo.
Mashuhuuda wa tukio hilo wanadai kijana huyo aliyeuuwa aliuziwa pikipiki hiyo Jana na hivyo kutoa pesa nusu wakati akisubiria amalizie pesa ili akabidhiwe kadi ya pikipiki pikipiki ilikuwa inasumbua taa na hivyo kupeleka Kwa mafundi pikipiki waliopo jirani na kwake
Asubuhi ya Leo , wakati akiwa na mafundi pikipiki Asubuhi ndipo alipotokea mwanamke mmoja akiwa na kijana mmoja wakampiga spana ya jicho Hadi jicho kutoka nje na baadae kumuanguashia jiwe la kichwa huku wakimtuhumu kuwa ndie aliyeiba pikipiki hiyo hiyo na hawakutaka kusikiliza Wala kumpa nafasi ya kutoa utetezi wowote ndipo mwanamke huyo akammiminia dumu la Lita Tano la petol na kumchoma moto huku akiwa amefungwa kamba za miguu na mikono.
Tukio Hilo limeleta simanzi ya aina yake Kwa watu walioshuhudia tukio Hilo kutokana na kwamba kijana huyo alinyimwa nafasi ya kujieleza wakati sio mwizi.
Na aina ya kipigo Cha kinyama alichopata na mwishowe kuchomwa moto Kwa petrol.
Baadhi ya watu wakiwemo bodaboda ,dereva bajaji na wengineo wameshangazwa na ujasiri wa mwanamke huyo kufanya aina Hiyo ya ukatili
Polisi wamefika eneo la tukio na kuchukia mwili.
Nakusihi Hama Arusha wagonjwa ni wengi huko.Aisee
Aisee! Umepatia sana!Matumizi ya hisia badala ya akili.
Huyo mwanamke hana tofauti na ccm
HakikaNakusihi Hama Arusha wagonjwa ni wengi huko.
Kweli mauaji hapa ni mengi na ni kila Leo , Hata media haziripoti tena, zinaripoti inshu nyingineHuo mkoa wa Arusha vijan wamepinda sana, nlikiepo huko week mbili zilizipita, adse kule kila mtu mbabe, matukio kama hayo yatakua mengi, ila machache ndo yanafika kwenye media
Wanapunguza waduduArusha now hawacheki na wowote
nini kifanyike?Mwongozo wako ni fyongo. Hao viongozi hawana nguvu yoyote kisheria kwenye manunuzi ya vitu kama magari na pikipiki
sio afande kweli? hisia zangu pikipiki iliyoibwa ina tracking systemYupo zake gado Hana habari
Sasa hapo hata angeenda huko ingesaidia Nini?hajasikilizwa...Mimi nanunua Mali halali na siend serikali za mtaa...Ngoja niwape mwongozo, unaponunua kitu chochote hasa baskeli,pikipiki,gari au ndege washirikishe viongozi wa serikali yako eidha mwenyekiti wa kijiji,mtaa au mtendaji, na hakikikisha unapewa kadi ya hicho chombo cha moto hata kama haujamaliza kulipa,manake muuzaji akiwa na hofu kuwa utamzulumu basi mwambie aitoe kadi hiyo muiache kwa kiongozi wa serikali ukimaliza utachukua, akikwambia kadi ipo pasipo kuiona tafadhari sana kuwa na mashaka na muuzaji huyo na achana nae. Vinginevyo unajitafutia kifo. RIP raia usie na hatia