Arusha; Boda Boda auwawa kinyama na mwanamke Kisha achomwa Moto

Zile nyama mlizokula😅😅😅
 
Polisi wamekuja na kuchukuwa mwili,je huyo mwanamke hajakamatwa? Hawo raia waliokuwa karibu na tukio walishindwaje kuzuia mauaji ya huyo kijana?
 
Mwongozo wako ni fyongo. Hao viongozi hawana nguvu yoyote kisheria kwenye manunuzi ya vitu kama magari na pikipiki
 
Yaaan muda wa pikpik kuibwa na kuuzwa mbona muda mchache sana?? Pamoja na yote hapa bado kuna jambo lipo limejificha maana napiga hesabu ya muda wa biashara na wizi kufanyika ni mdogo mnoooo
Kuna wezi wengine huwa wanapanga plan hata miezi kadhaa kabla ya kuiba.
 
Eti pikipiki yenyewe imeibiwa siku hiyo hiyo na ikauzwa hapo hapo na mbaya zaidi hakuna legal document yyte kiufupi jamaa ni mwizi Tena mzoefu.
Kwa nini unatoa conclusion bila kuwa na habari za ndani au kusikiliza pande zote? Alichoandika mwanzisha thread sidhani kama tunaweza kusema ndiyo ukweli wa tukio.
 
Huyo mwanamke ashitakiwe kwa kosa la UHAINI!
 
endeleeni kuchagua mafisiemu tu mtapata maisha bora na familia zenu, umbwa nyie na bado mtauana sana
 
Mwanamke katoa kipigo, kisha akamfunga kamba miguuni mshukiwa na baada ya hapo kammiminia lita 5 za petrol mtuhumiwa kabla ya kumuunguza.

Kisha watu wengi wameshangazwa na uhodari wa mwanamke huyo?

Kwahyo nyie mkaes mnaangalia tu??
 
Unaibiwa pikipiki unaipata halafu unamfanyia mtu aliyekutwa nao ubaya usiopimika halafu unaenda jela. Huko ni kukosa akili.
 
Huyo mwanamke yupo hai bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…