Arusha; Boda Boda auwawa kinyama na mwanamke Kisha achomwa Moto

Huo mkoa wa Arusha vijana wamepinda sana, nlikuepo huko week mbili zilizipita, adse kule kila mtu mbabe, matukio kama hayo yatakua mengi, ila machache ndo yanafika kwenye media
 
Umetoa taarifa kwa simanzi sana kumbe mwanzo ulikuwa na nafasi ya kumtetea lakini ukapuzia
 
Huo mkoa wa Arusha vijan wamepinda sana, nlikiepo huko week mbili zilizipita, adse kule kila mtu mbabe, matukio kama hayo yatakua mengi, ila machache ndo yanafika kwenye media
Kweli mauaji hapa ni mengi na ni kila Leo , Hata media haziripoti tena, zinaripoti inshu nyingine
 
Sasa hapo hata angeenda huko ingesaidia Nini?hajasikilizwa...Mimi nanunua Mali halali na siend serikali za mtaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…