macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Cha kufanyika tayari kimeshawekwa kwenye sheria. Muulize mwanasheria yeyote atakupa mwongozo. Nasema hivi kwa sababu ni wengi wametumia hawa watendaji wa mitaa kwenye manunuzi na kesi zilipofika mahakamani wakasema hawatambuliki kisheria.nini kifanyike?
ayo tv ipo makini sana itaripoti tu.Kweli mauaji hapa ni mengi na ni kila Leo , Hata media haziripoti tena, zinaripoti inshu nyingine
unaamini vipi kuwa ni mali halali? Alafu hata mleta mada amesema jamaa aliambiwa kupewa kadi mpaka amalizie kulipia,nadhani hata hiyo kadi ya pikipiki aliyoahidiwa kupewa baada ya kukamilisha kulipa hakuiona,ingefaa aione,waikabidhi kwa kiongozi kisha akimalizia anachukua,wewe ushauza chombo chako,unakaa na kadi ya nini? Kwani viongozi wetu tuliwachagua wa nini?Kama hawataki kusikiliza kero zetu basi tutaunga mkono hoja ya CHADEMA ya no reform no election.Sasa hapo hata angeenda huko ingesaidia Nini?hajasikilizwa...Mimi nanunua Mali halali na siend serikali za mtaa...
Akamatwe haraka na vyombo vya dola kwa hatua stahiki za kisheria!!Yupo zake gado Hana habari
Shida sio kuiba bali kuibia maskini wenzio … 20 percent aliwahi sema “ unamwibia mwenzako nae kachoka utachomwa moto na utawaka”Kwa kwelii ukinunua ndege ya wizi utakuwa kiboko.
Hivi mbona wale wanaoiba mabilion serekalini huwa hawachomwi moto.