Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Daaah!!! Sasa swala la mji kupangwa ni Arusha tyu!! Ebu fikiria kwa mapana hata Hapo unapoishi wewe hapajapangwaaa,,Hamna kitu arusha...75% ya mji huu haujapimwa viwanja...watu wanakaa kwenye slums...mitaa michache sana ya maana labda njiro tu
Utachekwa na hizo Pumba zako,,,Arusha eneo kubwa lina tindiga...nyumba unajenga haimalizi miaka 5 inapasuka mbaya
Wewe umezoea kujenga local. Mwenyeji was singida nin? Maana singida kumejaa mawe hamna haja ya kuchimba msingi wa 1m. Uku protocol za ujenzi lazima uzifuate kwa usalama wa nyumba au jengo lako. Usiishi kwa kukariri, eti matindiga [emoji1] [emoji1] [emoji1]Arusha eneo kubwa lina tindiga...nyumba unajenga haimalizi miaka 5 inapasuka mbaya
Karibu,A~town watu wakarim,ride za kutosha utapataHaya Tunashukuru tumepajua kwa picha
natamani sana kuishi huo mkoa sema kuvamia mikoa ya watu kichwa kichwa unaweza kulia na utu uzima hivi hivi
Great Camera...great photos...hongera sana!
Karibu mkuu mimi nipo hapa sanawar na jana nilikuwa na mmiliki wa Shule ya bi shop Lendisa wa Bishop danUmeniletea homesickness. Umenikumbusha Sanawari na Enaboishu.
LikeSehemu yoyote yenye maendeleo hapa tz hakuna CCM
Kama unatumia material za kimasikini na mafundi uchwara hapo sawa, ardhi ya njiro ni mbaya sana lakini angali vitu vilivyojengwa, kwa mromboo nako ardhi ni hovyo lakini umeona nyumba za maana ziko za kutosha. Arusha eneo lenye ardhi nzuri ni kama sakina kwenda juu na ukanda wake, mianzini, sanawari, baadhi ya maeneo ya tengeru mpaka usa. Baadhi ya maeneo ya kijenge na majengo. Baadhi ya maeneo ya olasiti na maeneo ya kiwanja cha ndege mpaka ngaramtoni chini kwenye site za agakan mpaka maeneo yaArusha eneo kubwa lina tindiga...nyumba unajenga haimalizi miaka 5 inapasuka mbaya