Bila shaka umehadithiwa.Wahindi wengi wao Arusha wanaishi kwenye ghorofa za msajili. Maghorofa mengi Arusha ni ya wazawa.Fanya study tour Arusha upate ukweli.Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Wala hajakosea,acha roho mbaya na wivu wewe.
Twenzetu tukajiridhishe km hz picture za kweli. Isijekuwa South AfricaHaya Tunashukuru tumepajua kwa picha
Karibu sasa hivi kuna joto kama dar.Napenda tu kupatembelea baada ya muda niondoke...
Sipatani na baridi.
Hawa wachina wa barabara wanatupeperushia mvua, Hatujazoea hili joto arifu.Karibu sasa hivi kuna joto kama dar.
Mkuu unamaanisha nini?Mafa nzuri miyeyusho ndio imevamia
Kwan yele maghorofa ya posta au kariakoo dar kuna wazaramo mule,,,,!!!zaid ya kuwakuta nje ya mji huko ,mbagala ,tandale kwa mkunduje,,,huo ndo mfumo wetu mkuu wa maisha..Hayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Arusha is the place to be
Aisee we jamaa ni jipuKaribu sana.
Tatizo ni moja tu labda kwako.
Huku hamna CCM.