Acha uongo. Hayo maghorofa wanamiliki wenyeji wa Arusha tena weusi. Acha kujifanya unaijua Arusha kuliko sisiHayo maghorofa uliyoyaweka hapo ni ya wahindi...mwarusha wa kawaida anakaa maeneo ya ovyo ovyo kama majengo.kwa moromboo.matejoo.unga ltd.lemala...barabara hakuna huko...vijinjia vidogo vidogo wanavyonunua kwa wazee wakiarusha
Nimeamini kumbe Arusha inazidiwa na Mwanza kimuonekanoUzuri upo wapi hata kwa hayo majengo. Hayana mvuto wowote
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app