Arusha: Daladala zagoma tena Arusha, leo Agosti 14, 2023

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu.

Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais.

Sababu za mgomo huo inatajwa ni Serikali kushindwa kufikia muafaka kati yao na Bajaji kwa kuruhusu Bajaji kufanya kazi kama daladala ndani ya Jiji la Arusha

Uongozi huo umeeleza kuwa mbali na kuandika barua kwa mkuu wa mkoa kuikumbusha Serikali kutekeleza maadhimio ya vikao vya kamati ya suluhu lakini barua hiyo haikupatiwa majibu jambo ambalo limewakatisha tamaa madereva na viongozi wao.

Aidha viongozi hao wanataka kauli kutoka kwa waziri Mkuu Au makamu wa Rais kwa madai kuwa viongozi wa Arusha wameshindwa kutekeleza madai yao.

Zaidi ya Bajaji 2500 zinafanya kazi ndani ya jiji la Arusha kama daladala.

cb9b85fa-d380-4a42-b8b7-37a4fd9c87cb.jpg

f4826696-0be4-4389-8e6d-60e5cfa9fd85 (1).jpg

37352369-9915-484c-8079-ef85d288f576.jpg

=============

LATRA YASEMA MGOMO UKIENDELEA WATAFUTA LESENI ZA DALADALA
Joseph Michael, Afisa Mfawidhi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Mkoa wa Manyara anazungumzia kinachoendelea:

Tunasikitika kitendo cha Daladala kufanya mgomo kwa kuwa tayari Serikali inafanyia kazi suala hilo chini ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye alishaunda Kamati inayohusisha watu wa Bodaboda, Daladala, Bajaj, Barabara na taasisi za Serikali zinazohusisha masuala ya Usafirishaji.

Kamati iliundwa maalum kufuatilia suala hilo na ilishamaliza kazi yake, kilichokuwa kinafuata ni kwenda kwenye hatua ya pili ya utekelezaji, kinachoshangaza wamefanya mgomo wakati wao watu wa Daladala wana wawakilishi wao kwenye Kamati.

Tunashauri warejee kutoa huduma na Kamati iendelee kutoa mchakatoa, mgomo una madhara, waliendelea hivyo Sheria inaeleza kuwa tutafuta leseni.

Nimeenda kuzungumza nao watu wa Daladala pale Kilombero Kituoni, inavyoonekana Wanachama wa Daladala hawawaheshimu viongozi wao wanaowawakilisha, kwenye umoja wao huo kuna shida.

Pia tumeruhusu Coaster za Arusha – Moshi zianze kufanya kazi wakati huu wa mgomo huku tukiwasisitiza watu wa Daladala wasitishe mgomo, wafuate Sheria na Taratibu kwa kuwa wakiendelea hivyo tutafuta leseni zao, tupo ‘serious katika hilo.
 
Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu.

Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais.

Sababu za mgomo huo inatajwa ni Serikali kushindwa kufikia muafaka kati yao na Bajaji kwa kuruhusu Bajaji kufanya kazi kama daladala ndani ya Jiji la Arusha

Uongozi huo umeeleza kuwa mbali na kuandika barua kwa mkuu wa mkoa kuikumbusha Serikali kutekeleza maadhimio ya vikao vya kamati ya suluhu lakini barua hiyo haikupatiwa majibu jambo ambalo limewakatisha tamaa madereva na viongozi wao.

Aidha viongozi hao wanataka kauli kutoka kwa waziri Mkuu Au makamu wa Rais kwa madai kuwa viongozi wa Arusha wameshindwa kutekeleza madai yao.

Zaidi ya Bajaji 2500 zinafanya kazi ndani ya jiji la Arusha kama daladala.
Tuunganishie hapo na mambo ya dp world.
 
Siasa zimerahisisha Mambo, sheria zote zinakanyangwa, Sasa tuone Serekali itasimamia wapi!? Bajaji ni on request na Sio public transport
 
Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu.

Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais.

Sababu za mgomo huo inatajwa ni Serikali kushindwa kufikia muafaka kati yao na Bajaji kwa kuruhusu Bajaji kufanya kazi kama daladala ndani ya Jiji la Arusha

Uongozi huo umeeleza kuwa mbali na kuandika barua kwa mkuu wa mkoa kuikumbusha Serikali kutekeleza maadhimio ya vikao vya kamati ya suluhu lakini barua hiyo haikupatiwa majibu jambo ambalo limewakatisha tamaa madereva na viongozi wao.

Aidha viongozi hao wanataka kauli kutoka kwa waziri Mkuu Au makamu wa Rais kwa madai kuwa viongozi wa Arusha wameshindwa kutekeleza madai yao.

Zaidi ya Bajaji 2500 zinafanya kazi ndani ya jiji la Arusha kama daladala.
Wakumbuke kuwa kabla ya daladala kulikuwepo na coaster.... coaster hazikuzuia daladala kufanya kazi , zilijiongeza na kuanza safari ndefu badala ya kuung'ang'ania kufanya safari fupi fupi hapo mjini. Kama daladala hawawezi kuwa na adabu kuruhusu biashara huria wakauze gari zao wanunue bajaji... Pumbavu kabisa.

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara nyingine tena daladala zote zinazoenda katikati ya jiji. zimegoma kufanya biashara ikiwa ni mgomo wa pili ndani ya kipindi kisichozidi mwezi na nusu.

Mussa njuga ambae ni katibu wa daladala amesema mgomo huo hauna kikomo hadi wapate kauli kutoka kwa waziri Mkuu au Makamu wa Rais.

Sababu za mgomo huo inatajwa ni Serikali kushindwa kufikia muafaka kati yao na Bajaji kwa kuruhusu Bajaji kufanya kazi kama daladala ndani ya Jiji la Arusha

Uongozi huo umeeleza kuwa mbali na kuandika barua kwa mkuu wa mkoa kuikumbusha Serikali kutekeleza maadhimio ya vikao vya kamati ya suluhu lakini barua hiyo haikupatiwa majibu jambo ambalo limewakatisha tamaa madereva na viongozi wao.

Aidha viongozi hao wanataka kauli kutoka kwa waziri Mkuu Au makamu wa Rais kwa madai kuwa viongozi wa Arusha wameshindwa kutekeleza madai yao.

Zaidi ya Bajaji 2500 zinafanya kazi ndani ya jiji la Arusha kama daladala.

Bajaji ni uchafu na proof ya kufeli kwa public transport kwenye majiji.
 
Kwa nini Bajaji zisiwe na njia mbadala au nao Bajaji walipe ushuru.

Mwisho wakajifunze Mbeya au Dar
 
Watu wa bajaji ilitakiwa wawe wanatoa abiria uko ndani na kuwasogeza stendi za daladala au ziwe zinapaki kwa ajili ya kukodishwa sasa kwa sasa hawa bajaji wamekuwa kama daladala, nakumbuka huko nyuma mgomo kama huu ulishawai tokea mbeya ufumbuzi wa tatizo ulipatikana nashauri watu wa arusha wajifunze huko mbeya

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom