Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

Nafikiri hao wanaochapwa ni wagumu wa kuelewa mostly are slow learners educate them by stick
 
Ningekua sijaoelewa na hawajaoa ningejigonga mmoja aniwowe maana ndo fursa kwa sasa ukiingia kwny system ya kijani unaiponya nafsi yako.
 
Maskiniii!!!!

Hivi huko Tanganyika kuna sheria zinazoongoza nchi kweli?
 
Back
Top Bottom