Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

Nafikiri hao wanaochapwa ni wagumu wa kuelewa mostly are slow learners educate them by stick
 
Ningekua sijaoelewa na hawajaoa ningejigonga mmoja aniwowe maana ndo fursa kwa sasa ukiingia kwny system ya kijani unaiponya nafsi yako.
 
Maskiniii!!!!

Hivi huko Tanganyika kuna sheria zinazoongoza nchi kweli?
 
Na leo wafanyabiashara huko wamemchangia mln 5 dc ya madawati naona watu wamemuunga mkono!

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…