DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.

Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.

Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba, licha ya fedha hizo kukusanywa, walimu tumelazimishwa kusahihisha mitihani ya masomo yetu wenyewe. Hili linazua maswali makubwa juu ya uwazi na matumizi halali ya fedha zilizokusanywa kutoka kwa wanafunzi.

Mbaya zaidi, baadhi ya walimu wakuu waliothubutu kuhoji utaratibu huu usioeleweka wamechukuliwa hatua kali kwa kuhamishiwa kufundisha shule za msingi. Hatua hii inaonekana kama njia ya kuzima sauti za haki na kuwatisha wengine wasihoji.
 
Kuna ufala mwingi sana sekta ya elimu

Na walimu kutokana na umasikin wa nguvu ya kipato na utayar wa mageuz bas wanapelekwa kindez sana
Halafu walimu walivyo wapuuz ndan yao kuna kuwa na fala mmoja kibaraka wa kutoa taarifa kwa DEO

pesa inaliwa hakuna wa kuuliza
 
Duh!umetoa kubwa sana😃😃
 
Kati ya sekta ambayo hela inapigwa na hakuna wa kufatilia ni ELIMU.
 
Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.

Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.

Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba, licha ya fedha hizo kukusanywa, walimu tumelazimishwa kusahihisha mitihani ya masomo yetu wenyewe. Hili linazua maswali makubwa juu ya uwazi na matumizi halali ya fedha zilizokusanywa kutoka kwa wanafunzi.

Mbaya zaidi, baadhi ya walimu wakuu waliothubutu kuhoji utaratibu huu usioeleweka wamechukuliwa hatua kali kwa kuhamishiwa kufundisha shule za msingi. Hatua hii inaonekana kama njia ya kuzima sauti za haki na
Munch wa Annabelle walimu kwanini msipitishe mgomo siku moja kwanza
 
Back
Top Bottom