A
Duh!umetoa kubwa sana😃😃Kuna ufala mwingi sana sekta ya elimu
Na walimu kutokana na umasikin wa nguvu ya kipato na utayar wa mageuz bas wanapelekwa kindez sana
Halafu walimu walivyo wapuuz ndan yao kuna kuwa na fala mmoja kibaraka wa kutoa taarifa kwa DEO
pesa inaliwa hakuna wa kuuliza
Kuna shule moja, wanafunzi wa k2 kuchangishwa 30,000 wapo zaidi ya wanafunzi 600!!Kati ya sekta ambayo hela inapigwa na hakuna wa kufatilia ni ELIMU.
Duuh noma Sana mzee.Ni mwendo wa urefu wa kamba tu.Wawekwe hadharani waone AIBU.Kuna shule moja, wanafunzi wa k2 kuchangishwa 30,000 wapo zaidi ya wanafunzi 600!!
Hapo bado k4!
Munch wa Annabelle walimu kwanini msipitishe mgomo siku moja kwanzaMimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.
Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.
Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba, licha ya fedha hizo kukusanywa, walimu tumelazimishwa kusahihisha mitihani ya masomo yetu wenyewe. Hili linazua maswali makubwa juu ya uwazi na matumizi halali ya fedha zilizokusanywa kutoka kwa wanafunzi.
Mbaya zaidi, baadhi ya walimu wakuu waliothubutu kuhoji utaratibu huu usioeleweka wamechukuliwa hatua kali kwa kuhamishiwa kufundisha shule za msingi. Hatua hii inaonekana kama njia ya kuzima sauti za haki na