Bangi ni drugsHalafu mnasema eti bangi sio madawa ya kulevya.
Hapa kuna visa vya ziadaView attachment 3173190
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.
Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki kuendesha kwa kasi na nusura kumgonga mtoto, baada ya kukaripiwa ndipo alipoenda na kurudi na wenzake
Mkuu bangi kiaje wakati watuhumiwa walikuwa na mirungi?Bangi ya arusha sio mchezo
Watuhumiwa walikuwa na mirungi sio bangiHalafu mnasema eti bangi sio madawa ya kulevya.
Sio kweli mkuu hao ni masela mavi hakuna jadi wala Nini.wameru, wamasai, waarusha. mapanga,sïme,visu hiyoo ni jadi yao ata sio bhangi. Ni kama hiloo tukio lingetokea pwan. Huyoo boda angewaita wenzaķe aje kuwachamba/kuwasuta.