Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

Sehemu ngumu sana kulelea watoto ni Arusha na Dar, Bangi nje njee!
 
Hamna viongozi. Hapo Moshi, mrungi na mkokaa unatoka mpakani huko holili unapita himo, njia panda, pumwani mpaka majengo au njoro na pasua na hamna askari anathubutu kusogelea. Unakuta pikipiki Ina gunia hata mbili na Ina escort ya pikipiki hata sita au nne... Mbele zinatungulia kusafisha njia na nyuma zinalinda. Unajiuliza viongozi wakwapi???
True pia unapitia Njia ya kirua vunjo mpaka kawawa road kila siku spread 140
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Hamna viongozi. Hapo Moshi, mrungi na mkokaa unatoka mpakani huko holili unapita himo, njia panda, pumwani mpaka majengo au njoro na pasua na hamna askari anathubutu kusogelea. Unakuta pikipiki Ina gunia hata mbili na Ina escort ya pikipiki hata sita au nne... Mbele zinatungulia kusafisha njia na nyuma zinalinda. Unajiuliza viongozi wakwapi???
Kwa hali hii vifo havitaisha
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Hao jamaa watakuwa wanakula na WAKUBWA,au ni michongo ya WAKUBWA
Ndo maana jamaa wanajiamini na wanafanya wanavyotaka
 
Hahahahh yaani kugombezwa tu umeenda kuita wenzako angepigwa kibao si ndio wangeua.Arusha acheni kutumia hiyo mimea haiwai
 
Back
Top Bottom