Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Sehemu ngumu sana kulelea watoto ni Arusha na Dar, Bangi nje njee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True pia unapitia Njia ya kirua vunjo mpaka kawawa road kila siku spread 140Hamna viongozi. Hapo Moshi, mrungi na mkokaa unatoka mpakani huko holili unapita himo, njia panda, pumwani mpaka majengo au njoro na pasua na hamna askari anathubutu kusogelea. Unakuta pikipiki Ina gunia hata mbili na Ina escort ya pikipiki hata sita au nne... Mbele zinatungulia kusafisha njia na nyuma zinalinda. Unajiuliza viongozi wakwapi???
Arusha bangi inauzwa dukani rejareja.inavutwa stendiSehemu ngumu sana kulelea watoto ni Arusha na Dar,Bangi njenjee!
Alafu huko maombi kila sikuNgeeya
Kwa Arusha huo ndo ujanja wao bangi na vurugu kwao ndo ujanja
Upole na ustarabu na kwenda kanisan kwao ni ushamba
Labda maombi ya leo yatasaidiaArusha bangi inauzwa dukani rejareja.inavutwa stendi
Thread 'Vijana wa Arusha wasaidiwe kama kundi maalum' Vijana wa Arusha wasaidiwe kama kundi maalumarusha inahitaji tiba kuhusu swala zima la malezi
Kwa hali hii vifo havitaishaHamna viongozi. Hapo Moshi, mrungi na mkokaa unatoka mpakani huko holili unapita himo, njia panda, pumwani mpaka majengo au njoro na pasua na hamna askari anathubutu kusogelea. Unakuta pikipiki Ina gunia hata mbili na Ina escort ya pikipiki hata sita au nne... Mbele zinatungulia kusafisha njia na nyuma zinalinda. Unajiuliza viongozi wakwapi???
amna kitu ni makuzi tuhHao jamaa watakuwa wanakula na WAKUBWA,au ni michongo ya WAKUBWA
Ndo maana jamaa wanajiamini na wanafanya wanavyotaka
Jeuri wanaitoa wapiamna kitu ni makuzi tuh
Condom wanavaa mlegezo?Hawapendi kufokewa, ndivyo walivyowalea waache wazazi wavune walichopanda.!