Nakala imfikie mshamba nini sijui na masela wenzie 😹Tatizo chuga masela mavi wengi sana
Huyu ni nani Huwa ni nani kwaoImagine mkoa mzima wanaona huyu ndio mjanja wao unatarajia watu wa aina gani hao?
bangi na mirungi ni nduguMkuu bangi kiaje wakati watuhumiwa walikuwa na mirungi?
pia hao wameru kuna ka tabia fulani wanacho cha ushambaHalafu mnasema eti bangi sio madawa ya kulevya.
Kwani wakaazi wote wa arusha ni wavuta bangi?Halafu mnasema eti bangi sio madawa ya kulevya.
Hamna viongozi. Hapo Moshi, mrungi na mkokaa unatoka mpakani huko holili unapita himo, njia panda, pumwani mpaka majengo au njoro na pasua na hamna askari anathubutu kusogelea. Unakuta pikipiki Ina gunia hata mbili na Ina escort ya pikipiki hata sita au nne... Mbele zinatungulia kusafisha njia na nyuma zinalinda. Unajiuliza viongozi wakwapi???Nchi hii uhuru umepitiliza,kila mtu anajiongoza kivyake vyake
kanda ya ziwa nao ni wavutaji wa bangi na gongo kwa wingi japo wao wengi hutoka na kutawanyika maeneo mengine hii inasaidia..shida ni hawa wameru wanajazana haohapo ujingaujinga mwingiKwani wakaazi wote wa arusha ni wavuta bangi?
Vipi kuhusu matukio yanayotokea maeneo mengine? (Mwanza, guitar, mbeya, dar, moro)
Nayo unayahusisha na bangi?
Bangi ni bangi, na tabia ya mtu ni tabia sema ndio hivyo mazoea ya miafrika, mtu akizingua utasikia bangi hizo, kumbe maskini unaeza kukuta tatizo ni afya ya akili.
Kashotii flani kanajiitq Kenyonyo ndio mjanja waoHuyu ni nani Huwa ni nani kwao
Bangi haivutwi wapi hapa Tanzania?kanda ya ziwa nao ni wavutaji wa bangi na gongo kwa wingi
wameru wanavuta bangi kisha wanajazana hapohapo arusha kwa wingi wanajazana ujinga sanaBangi haivutwi wapi hapa Tanzania?
Maana mpaka ikulu naamini bangi ilishawahi kuwaka.
Haya sema mkoa gani hawavuti kisha tuangalie rekodi.