Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

Tatfta hela uache kulia lia
KESHO DAKTARI ATAFANYA HIVYO,
MWALIMU.................................
ASKARI .......................................
HAKIMU ......................................
NK NK.......................................
UNAJUA SIO KILA KITU NI CHA KUCHANGIA, WAKATI MWINGINE SOMA TU MICHANGO YA WENZIO.
 
Wewe ni dereva?
Hapo kosa la dereva lilikuwa ninini?
Hebu tujulishe.

Hutaki apumzike kwenye safari ndefu sio.?

Nenda kaendeshe wewe masaa 16 bila kupumzika wala kubadilishana na dereva mwingine.

Acheni taaluma za watu zifanye kazi.

Bar ni taasisi halali katika jamii yetu, na ni sehemu ya usalama kwa wageni.
Ina vyakula na vinywaji vya aina mbali mbali ili kuwafurahisha wateja wake.

Wewe ulitaka apumzike wapi ?
Bafuni sio?
Na asile wala kunywa ili naye afe.
 
Asa jaman mtu si amekufa huyo , ukweli ni kuwa mazishi yasingefanyika usku , jamaa kaona hii sa moja na nusu achek game mana atafika tuu mda mwafaka , imekuwa nongwa duuh
Lofa mwingine huyu hapa...
 
Sisi tutajua kama kweli ni bar hapo !!??

Hata kama ni baa, huko ndani ya jeneza muhusika yumo tayari ndani????

Sisi tutakuamini vp, je labda unavisa na dereva wa gari ONESHWA hapo juu???

: MKAZANE MAISHA MAGUMU [emoji38]
Sisi na nani?? Hujiamini kujisemea wewe mwenyewe mpaka uweke uwingi wa sisi???
 
"Cha kushangaza dereva amekuja na maiti hapa Sakina bar, amepaki gari, akawashusha ndugu wa marehemu kisha akaingia ndani kutizama EPL. Nimeumia sana kuona wamama wako nje wanalia, jamaa yuko ndani anakunywa na kuangalia game. "
 
Msameheni Ila hiyo tabia ya mtu anayekunywa maji sio rahisi kuitibu
 
Una hoja ya msingi na nna hisi huu mwili unaweza kuwa ni wa Ile kada yenye ugomvi na Mpwayungu village
 
Kwa hiyo,mlikuwa na wanafamilia,marehemu wengine wakaja na wenyewe! Hii kali sasa
 
Ungechukua video kabisa isambae kwenye magroup ingemfikia Muheshimiwa Rais
 
Unachotaka kumaan isha kwa umma sio kweli. Watu wanaposafirisha misiba kuna wakati wanahitaji huduma za kijamii ikiwa ni pamoja na chakula. kupiumzika sometime na hata kupoteza mawazo ili waendelee na safari muda muafaka. hakuna watu wanasafirisha maiti njiani halafu wanalia safarini. sio kweli
 
Asa jaman mtu si amekufa huyo , ukweli ni kuwa mazishi yasingefanyika usku , jamaa kaona hii sa moja na nusu achek game mana atafika tuu mda mwafaka , imekuwa nongwa duuh
Siyo vizuri tuashum ungekuwa wewe amekufa mwanao.
Ungekubari driver akusubirishe hapo nje na maiti ya mwanao?
 
Jambo hili wangelalamika wafiwa, na sio mpitanjia anayepiga picha gari na jeneza na kurusha humu.

Kwa sisi tunaosafiri mala kwa mala Bar ndio sehemu salama ya kupumzika na kupata chakula safi kwa wageni

Hata mabasi ya mikoani huwa yanawapumzisha wasafiri Bar zilizoborehwa ili wapumzike na kupata chakula na vinywaji.

Bar ndio sehemu salama kabisa ya kupumzika wasafiri wageni.
Pia kumbukeni bar ni ofisi halari na inalipa kodi.

Si vema kuandika Mada zenye lengo la kuwaharibia watu kazi.
 
Je sio kwamba walisimama njian kutafuta chakula? Habar yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…