Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 309
- 1,273
Malisa kanishangaza sana. Kanishangaza mno. Yaan alishindwa vipi kuhojiana na jamaa kabla ta kuileta public. Huo ni uchonganishi tu
Then kaifuta hiyo post
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malisa kanishangaza sana. Kanishangaza mno. Yaan alishindwa vipi kuhojiana na jamaa kabla ta kuileta public. Huo ni uchonganishi tu
Bado kwangu ipo. Anaifutaje post wakati kesha zua tafrani na Ofisi yenye dhamana juu ya gari hilo STM 2708 na dereva wake?Then kaifuta hiyo post
Baa wanauza bangi?, huyo ni mleviKhaa?
Huyu dereva atakuwa anavuta bangi.
Na hao wenye bar walimruhusu vipi kupaki gari lenye maiti.
Ni kweli kbsa na wanalala njian maana zamani watu walikuwa wanajinyonga sana maiti zikingia usikuMkuu sehemu nyingne marehemu huwa apelekwi kwao ucku , kama hvyo pia walikuw wanavuta muda au walikuw wamekubalian itakuw umemchafua dereva/mkuu WA msafara
Nenda njia pand njia inayoelekea rombo marehemu wengi ukesha pale. Na kupelekwa kwao asubuhi
Nilicommwnt tena jioni ya saa 10.amefanya jambo jema kuifuta. Uchonganishi wa kimama tu. Akifukuzwa kazi ndo watajisikia raha? Huyo mtoa taarifa ana umama sanaThen kaifuta hiyo post
Mkuu, sijawahi ona watu wanali wakiwa safarini na msiba. Huwa kuna maeneo nyeti watu hulia kama wamuinapo marehemu, wakiwa wanaaga ama ile wanaingia nyumbani na marehemu. Kwenye magari watu wanKulaga gambe tu.Ila huyu mlevi ana roho mbaya sana, yaani anadiriki kuwashusha watu wenye hali ya majonzi ili tu akale ulabu!!!
Kuna wakati binadamu anakuwa mbaya kuliko hayawani.
Parking ina limitations mkuu?Khaa?
Huyu dereva atakuwa anavuta bangi.
Na hao wenye bar walimruhusu vipi kupaki gari lenye maiti.
Hana kazi huyu atafute kazi nyingine🤣🤣🤣🤣🤣💺Kuna raia zimepinda aisee dah!
Hii nguruwe ni ya kufukuza kazi straight away yaani na hakika tunahitaji sana adhabu ya viboko irudi kwenye jamii
Wewe ulitaka akapumzike wapi na kwanini?.. hovyo kbs! kwahiyo akapumzike bar na maiti huku wafiwa wakiwa nje wanalia unaona imekaa sawa? shuwaini kabisa ww!
Nadhani dereva alikuwa na njaa amekuta kuna game anaangalia wakati ansubiri chakulaAsa jaman mtu si amekufa huyo , ukweli ni kuwa mazishi yasingefanyika usku , jamaa kaona hii sa moja na nusu achek game mana atafika tuu mda mwafaka , imekuwa nongwa duuh
Na kweli habari hii haijitoshelezi.Wako wapi hao kina mama wenye kulia?Walishushwa baa wakakubali?There is something which is not adding up.Lete habari hii kwa ukamilifu ili kama kosa limefanyika watu waweze ku judge.Sisi tutajua kama kweli ni bar hapo !!??
Hata kama ni baa, huko ndani ya jeneza muhusika yumo tayari ndani????
Sisi tutakuamini vp, je labda unavisa na dereva wa gari ONESHWA hapo juu???
: MKAZANE MAISHA MAGUMU 😆
Hizi ni kauli za jazba tu, marehemu amefika salama kwa na amesha zikwa salama.Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassani popote ulipo naomba nakuomba sana Mh Rais tafafakli Kiti unacho kikalia dhidi ya mwenendo wa watumishi wenzako.
Hakika watumishi walioko chini yako nidhamu imeshuka sanaaaa.
Kitendo cha dereva wa serikali aliyepewa jukumu la kubeba mwili wa Marehemu kuamua kufika sehemu kuwashusha ndugu wa marehemu na kuamua kupaki gari pembezeni mwa bar na kuanza kunywa pombe ni tusi kubwa kwa wafiwa lakini pia kwa watanzania.
Haya magari mnayotembelea Mh rais na watumishi wenzako ni mali yetu sisi watanzania.
Mh rais ili tukio enzi za mh Rais mwendazake.lisingekaa litokeee
Haya limetokea ukitaka kujua yakuwa watumishi wetu wote hamna adabu haiwezekani hakuna mamlaka iliyotoa kauli ya kulaani tukio ili ni kuwa mmefurahia?