Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Vikao vya Chadema ni Full Sanitizer na Barakoa , picha inajielezaWaliomvisha wamechanjwa corona?
Upuuzi mtupu
Body guard hana barakoaVikao vya Chadema ni Full Sanitizer na Barakoa , picha inajieleza
Ana chanjo 2 tayari , kwa USA aliyedungwa chanjo 2 hana haja ya barakoaBody guard hana barakoa
Kwa sasa yuko wapi ?Hili vazi lowassa Alisha valishwa zaidi ya mara 1000
Soma pia hapa>>> Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetuMpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe kishakabidhiwa uongozi wa Wamasai baada ya kuvishwa vazi rasmi la kimila na Wazee wa Arusha , Hii ni heshima kubwa kwake na kwa chama chake na ni pigo kwa mamluki wote waliotumika kummaliza bila mafanikio .
Umeishia darasa la ngapi ?Hii operation ikiendelea kwa muda wa miezi mitatu bila kusambaratika, basi mi nitatembea uchi nchi nzima. Hapa kuna mkakati wa mwenyekiti kupiga pesa bila kuwagawia wenzake kitu ambacho kitafanya wajumbe wengine ambao ni genge la mbeleji waisusie operation yenyewe. Time will tell
!Waliomvisha wamechanjwa corona?
Upuuzi mtupu
πππKwa sasa anaitwa Freeman Ole Mbowe hutaki unaacha πππ
Mnyika yeye alivalishwa usukumani. Yaonekana wanapewa uongozi wa makabila watu wasiostahili kuwa wanasiasa. Hao hao kwenye boksi la kura wanalizwa!Hivi huu uongozi wa makabila, unakuwa je?
Maana hata akienda PM anavalishwa nae anakuwa kiongozi wao, lisu alivalishwa, mwenda zake alivalishwa.
Naomba ufafanuzi anaye fahamu