Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

Jengeni ofisi bhana! Ona sasa munaanza kutafuna ruzuku za wabunge 19.
 
Mkuu ni vema ukajikita kwenye content ya kilichoandikwa badala ya ukabila
Nimekuja kujua nyinyi ni wakabila wakubwa sana kuliko makabila yoyote TZ ila mnajificha tu,hata viongozi wenu mnao waabudu na kuwasujudia pamoja na kuharbu chama kwa kuwaleta walokua mafisadi wa nchi hii bado mpo nao,Hii ni kawaida ya principal za ukabila kufumbia baadhi ya mambo maovu ila tu ni wakabila yeti,Hata JPM mnatukana watu na kuwaita majina ya ajabu kama SUKUMA GANG huku nyinyi na ndugu zenu hapo moshi(wapare) mkiongoza kupita watu majina ya kikabila.

Nenda kawaambie wenzenu waache ukabila na vikundi vyenu hvyo vya kiboroloni na chekereni moshi.

Damu ya ukabila haitowaacha salama na kikundi chenu cha kihuni kutoka moshi hapo
 
Lisu alivikwa vazi la kila kabila alikopita ila akaishia patupu
 
Mkuu mimi mtu wa Kyela , kijiji cha Kajunjumele , karibu tuvune mpunga
 
Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea .

Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe kishakabidhiwa uongozi wa Wamasai baada ya kuvishwa vazi rasmi la kimila na Wazee wa Arusha , Hii ni heshima kubwa kwake na kwa chama chake na ni pigo kwa mamluki wote waliotumika kummaliza bila mafanikio .

View attachment 1798148

View attachment 1798184View attachment 1798183

Mungu ibariki Chadema .
Kila mwaka anavishwa ni lini atabaki nalo, iwe zamu ya kulivua mbele za watu?

Anapovishwa mnatuambia ila anapovua hamsemi.

Na hicho ni cheo gani kila mara anavishwa?
 
Hili vazi lowassa Alisha valishwa zaidi ya mara 1000
mambo ya ajabu kweli. Sasa naamini Upinzani tanzania ni maigizo na historia tu imebakia. Bado hatujafaham ni nini hasa wanataka ku accomplish. Saa nyingine tutamlaumu sana mwendazake kwa kuwapiga stop ila huenda alikuwa sawa maana hawajitambui ni nini hasa wanafanya
 
Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea .

Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe kishakabidhiwa uongozi wa Wamasai baada ya kuvishwa vazi rasmi la kimila na Wazee wa Arusha , Hii ni heshima kubwa kwake na kwa chama chake na ni pigo kwa mamluki wote waliotumika kummaliza bila mafanikio .

View attachment 1798148

View attachment 1798184View attachment 1798183

Mungu ibariki Chadema .
haya ni maajabu ya dunia yakitokea Tanzania yani mchaga akawe kiongozi wa kimila wamaasai hebu CHADEMA kuweni serious acheni hoja za kitoto hizi hazitawasaidia kwani wazee wa kimila wa wamasai hawapo?
 
Nimekuja kujua nyinyi ni wakabila wakubwa sana kuliko makabila yoyote TZ ila mnajificha tu,hata viongozi wenu mnao waabudu na kuwasujudia pamoja na kuharbu chama kwa kuwaleta walokua mafisadi wa nchi hii bado mpo nao,Hii ni kawaida ya principal za ukabila kufumbia baadhi ya mambo maovu ila tu ni wakabila yeti,Hata JPM mnatukana watu na kuwaita majina ya ajabu kama SUKUMA GANG huku nyinyi na ndugu zenu hapo moshi(wapare) mkiongoza kupita watu majina ya kikabila.

Nenda kawaambie wenzenu waache ukabila na vikundi vyenu hvyo vya kiboroloni na chekereni moshi.

Damu ya ukabila haitowaacha salama na kikundi chenu cha kihuni kutoka moshi hapo
Kubalini tu mwendazake atorudi tena
 
Wampelekee taarifa yule jamaa aliye ahidi kuiua Chadema huko kuzimu kuwa kazi inaendelea.
 
mambo ya ajabu kweli. Sasa naamini Upinzani tanzania ni maigizo na historia tu imebakia. Bado hatujafaham ni nini hasa wanataka ku accomplish. Saa nyingine tutamlaumu sana mwendazake kwa kuwapiga stop ila huenda alikuwa sawa maana hawajitambui ni nini hasa wanafanya
Kwani wewe usipoelewa inabadilisha nini? Nenda kaendelee na maombolezo usije ukanyimwa nafasi ya kumfuata mapema bure.
 
Back
Top Bottom