Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

Kwani wewe usipoelewa inabadilisha nini? Nenda kaendelee na maombolezo usije ukanyimwa nafasi ya kumfuata mapema bure.
akili yako wewe ni ndogo kama Yai la Mbuni hivyo huelewi kitu
 
Chawa mlitutesa sana.atake asitake ni lzm tumuongezee muda.
Vp umeongeza BMW ngap tangu mwamba aondoke?😂😂 au ndo umefurah umepata mda mzr wa kutumia bando maana kuna uhuru kwa kutapika na kuharisha chochote mitandaoni kama unavyofanya saiz🤣🤪
 
Vp umeongeza BMW ngap tangu mwamba aondoke?😂😂 au ndo umefurah umepata mda mzr wa kutumia bando maana kuna uhuru kwa kutapika na kuharisha chochote mitandaoni kama unavyofanya saiz🤣🤪
Nashuhudia ukuu wa Mungu hakika ajatuacha yatima. Huku akiendelea kuwaibisha wote wale waliovuruga uchaguzi mkuu bado ndugai na mahela. Bashite, bashiru, kange, sabaya chali tumpe nn tena Mungu ametenda lihimidiwe jina lake
 
Sijawahi kuelewa faida ya hizi siasa za kuvikwa migolole na kutambikiwa.
 
Sema mnachoshindwa kuelewa ni kuona Mbowe ana njaa na vimilioni vya michango, mtu amewekeza mpaka nje huko aje apambane kula michango ya million mbili
 
Asante mapambano yanaendelea hadi kieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…