Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Inawezekana ndio ulikua mchezo wao. Ila pombe imefanya wagundulike.
 
Unaambiwa walilewa. Mangi yupo tungi kajisahau kafungua mlango.
 
Hii hawajaiona Accumen Mo na darcity
 
Ukinywa pombe unafungua milango mingi ya Giza.
 
Hakuna kesi hapo

Guyo kijana kataka mwenyewe na inaelekea ndy michezo yao

Siku hizi watoto wa kiume wanafilana
Sana especially hiki kizaz cha singeli amapiano vijan watoto sahv kutwa kukatika katika mauno ,mnategemea nn hpo

Ovq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…