Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kwa Tz chuga na dsm ndo zinaongoza kwa mapunga.Asee wachaga hizi tabia mmetoa wapi...,, tulijua ni mambo ya pwani tu....... Ila dah miaka 29 unavuliwa vyeo kisa bia........ Na mangi kasimamisha kabisa kwa tako la mwanaume mwenzie dah ni shida