Arusha:Haya. . .waliosema siji siji. . .nimekuja sasa

Arusha:Haya. . .waliosema siji siji. . .nimekuja sasa

Unaniamsha mie mkeo?

Tena utanilipa manake ulinikatiza ndoto yangu nzuri, mwenzio nilikuwa nahesabu ma euro ndotoni kabla sijamaliza umenistua, kuamka hayapo! Nakudai.

Kwani kwangu umekuja kuota au kufanya kazi? ndoto utaotea kwa Mr Rocky................... kwangu ni kazi za ndani tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom