measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,420
Sisi wazima kabisa mwanangu sweetlady, baba yenu watu8 naye hajambo pilika za maisha zimekuwa nyingi
Last edited by a moderator:
Mwaaaaah
Nipo kajiado mpendwa. . .
Mwanamke huna haya wewe. . .mf! Ngoja nikukamate angle zangu, au ni-publish lile tukio kwenye gazeti za udaku nini?
We ngoja nikudake ndo utajua kama mwanamke wa ukweli anatumia jike.
roger that..COPY: mtu chake
Acha uongo King'asti... mwanaume wa kweli hutumia jike!!