Niko maeneo hapa karibu na florida. . .nipeni ramani. . .
Niko maeneo hapa karibu na florida. . .nipeni ramani. . .
Khaaa! Mgeni gani unazurula hivyo? Ndio namsubiri King'asti anamalizia kunoa kisu hapa.
Nipo hapa mitaa ya mianzini now. . .mwambie King'asti aandae kisu kikali coz alinidharau eti sina ela.
Don Mangi karibu sana ngoja nikutafutie mwenyeji wa ukweli kabisa. Blaki Womani kuja mitaa hii upokee mugeni yetu toka safari ya mbali. Preta mama upoooooo???? Don Mangi hajui muji kabisa anaogopa asije akaibiwa, Filipo pamoja na mkeo marejesho msikose katika tukio hilo.wadau wa chugga mko wapi sasa. . .nimekuja sasa.
Mwaaaaa ! Mwaaaaa ! Mwaaaaa! Thanks a lot lovely sis charminglady ! Nimezipokea salamu kwa moyo mkunjufu!
Mambo poa! Habari ya Kericho au Yaeda Chini!?