Copy kwa Filipo, Mungi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Erickb52, LiverpoolFC, marejesho, black Woman, Lily Flower , Preta, Mr Rocky (afu mwalimu wa kwaya analalamika umeanza utoro) na wengineo!wadau wa chugga mko wapi sasa. . .nimekuja sasa.
Ngoja nimtafute King'asti tuje kukupokea mabegi, uko pande zipi za arusha?
Nilimuomba ruhusa asubuhi..,.Hivi wewe nani kakuambia utoke nyumbani? Lily Flower anajua?
Nilimuomba ruhusa asubuhi..,.
Afu nimekununia! Ndio nini kuniamsha asubuhi yote ile afu nakurupuka usingizini abeee kaka mara umetoweka heeee! Sasa kama ulikuwa na haraka kihivyo uliniitia nini?
Unaniamsha mie mkeo?Hahahaaaaaaaaaa sasa si nilikustua uamke?
Mwaaaaa ! Mwaaaaa ! Mwaaaaa! Thanks a lot lovely sis charminglady ! Nimezipokea salamu kwa moyo mkunjufu!msalimie sana my lovely sis sweetlady!!!
Unaniamsha mie mkeo?
Tena utanilipa manake ulinikatiza ndoto yangu nzuri, mwenzio nilikuwa nahesabu ma euro ndotoni kabla sijamaliza umenistua, kuamka hayapo! Nakudai.
wadau wa chugga mko wapi sasa. . .nimekuja sasa.
Umekuja ndio Sawa.....sasa tukupate wapi.........?
Huyo jamaa huwa anaishia makuyuni halafu anasema yupo Arusha!!!
Ha ha.....vp kamanda....mambo ipo poa.....?