Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

Ningekuwepo hapo ningezuga tu upande wa moshi unapoelekea.

Anga la Arusha limepata neema. Huo moshi mtakatifu utaenda kurutubisha na watu kupata mvua za kutosha na kilimo kunawiri na mavuno ya kutosha.
Wakati hiyo ingetua Holland watu wangejiachia tu
Hawa wabongo wamechoma hela

Ova
 
watu wanahangaika na mambo yasiyo ya maana , kuna mbunge aliwahi kusema bungeni bangi iruhusiwe wakamshambuliaaaaaaaa, alimaanisha waruhusu watu walime kwa mpango na itumike kuuza nje kwa wanaotengeneza dawa mbali mbali. Watu wanajua kazi yake ni kuvuta tu , mwenzenu Mike Tyson sasa ana hekari kama 40 hivi za huo mmea na ni tajiri wa kutupwa kwa ajili hiyo tu, nyie endeleeni na ngonjera zenu za ooh eti dawa ya kulevya , wakati huko mnakoomba misaada wao ndio wanatumia kwenye mambo yao ya matibabu na dawa.
Bongo sahv wanahamasisha watu wakate mauno+kuwa machawa tu

Ova
 
Thailand, USA, Canada nk bangi ni zao halali na watu wanapiga hela ndefu vibaya. Kuna haja ya kuweka sera nzuri kwenye hili zao, tunaweza ku-export kwaajili ya utengenezaji madawa nk
 
Back
Top Bottom