N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Nipo Arusha, yaani hivi vi-hiace katikati ya mji ni uchafu na usumbufu katika zama hizi za wingi wa magari.
Vinasababisha usumbufu, vinasimama popote ni vingi na kero.
Uongozi wa Halmashauri ya jiji Arusha hebu igeni majiji mengine ya Tanzania kama Mbeya na Dar walishaachana na vigari aina ya 'vipanya' katikati ya miji yao. Ninyi mmekomaa navyo.
Wekeni jiji kuwa na hadhi ya Geneva kwa kuondoa vipanya city center.