Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
We fanya yako uridi kwenu kila mji una kitu kinachoweka identity yake. Nenda Johannesburg utakuta Wana hiace dungu zile new model hakuna mabasi unayotaka sijui coaster kwani unaenda mkoani?
Halafu route ni fupi pia abiria sio wa kivile unajua mji una baridi watu wengi wanatembea tu kwa coaster utapata hasara.
Kuhusu hiace hata Lagos na Harare pia ndio usafiri wa town.
Hizo hiace hapo Arusha zimekuwa pimped balaa mbona husemi? Zina muziki na tairi inapigwa rim sport kali. Hiyo ndio chuga mazee acha usoro jomba.
Vihiace vinaboa
Mtu unajikunjia kwenye gari kama unalima [emoji57][emoji57]