FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Aisee kama ni kweli waviondoe haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya walitaka kugoma serikali ya mji ikakomaa kwa kusema 'kama hutaki kununua coaster elewa tu ifikapo tarehe so and so vi-hiace marufuku ' na walipewa muda wa kutosha na ikawezekana....kuboresha miji serikali za miji sio kila wakati zinatakiwa kuachia hiari ya business people itawale wanapaswa kutumia mamlaka ambae hataki ataachia wenzake wale faida....kusikiliza sana wafanyabiashara ndio kunakotugharimu sasa hivi machinga wanapanga biashara hadi kwenye mstari mweupe wa lami kwenye miji yetu.Well, turudi kwenye mada tu. Uwepo wa aina ya magari inategemea na aina ya wafanyabiashara maana sio za serikali. Hata wakiwalazimisha sanasana utaishia mgomo ambao utaathiri usafiri kiujumla.
Wenye uwezo wa kuleta coaster waweke then may be with time hiace zitaondoka zenyewe tu kama ilivyokuwa Dar hiace ziliisha zenyewe
Inashindwaje kulipa?Aisee coaster hatalipa mie nafanya biashara ya hizi huduma
Waweke deadline ya miezi 6 hizo hiace zisionekane katikati ya mji.Well, turudi kwenye mada tu. Uwepo wa aina ya magari inategemea na aina ya wafanyabiashara maana sio za serikali. Hata wakiwalazimisha sanasana utaishia mgomo ambao utaathiri usafiri kiujumla.
Wenye uwezo wa kuleta coaster waweke then may be with time hiace zitaondoka zenyewe tu kama ilivyokuwa Dar hiace ziliisha zenyewe
Ubora uko wapi?Mimi wakati naishi huko nilikuwa naonaga ni poa tu ila nilivyotoka nakenda Mbeya na Mwanza nikagundua Arusha ni jiji ambalo linatabia za kimanispaa ni kama hawakuwa tayari kuwa jiji. Kwa kweli Mwanza ni jiji bora sana.
Vikiwa na quality ni vizuri, Pretoria na Jo'burg wanatumia kama vya rchugaYes aisee yaani ni vingi tena vile vipanya sio hiace za high roof, high roof chache. Vipanya short roof Mbeya waliachana navyo miaka ya 2000s mwanzoni; Arusha wanatuangusha sana.
Naona chuchuba umeshapaniki.Ajibu bangi! za nini?
Hakunaga konda msafi wote wanafananaVichafu Kama makonda wao[emoji3][emoji3]
Hahahaha Homme Sweet Homme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We fanya yako uridi kwenu kila mji una kitu kinachoweka identity yake. Nenda Johannesburg utakuta Wana hiace dungu zile new model hakuna mabasi unayotaka sijui coaster kwani unaenda mkoani?
Halafu route ni fupi pia abiria sio wa kivile unajua mji una baridi watu wengi wanatembea tu kwa coaster utapata hasara.
Kuhusu hiace hata Lagos na Harare pia ndio usafiri wa town.
Hizo hiace hapo Arusha zimekuwa pimped balaa mbona husemi? Zina muziki na tairi inapigwa rim sport kali. Hiyo ndio chuga mazee acha usoro jomba.
Ni kweewisee arreeff[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe kukaa Chuga miaka 3 ndio ubishane na mzawa?Haina paringi arifu.
Aisee chalaa angu hebu kula ngusu Kwanza hapo,afu rudi Tena hapa Ila kitu cha makushabu usiguse.
Iandikie hioooo.
Hiace za njiro je? Sakina hujaona? Superroof hizo.Hiace za ndessa ndo kdgo zko sawa zingine kawaida Sana hata mziki hamna
Huwezi weka coster Arusha kwa ruti ipi??? Maji ya chai??? Au ipi??
Kuna ruti za dar zina umbali wa Arusha - moshi ...
Sema hopo kwenye sa tatu vinatoweka nimeelewa.... Alafu mjini kati panazidiwa hadi na kahama kwa uchangamfu mana sa 3 usiku stend ishapoa.