Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Kwamba nilichosema ni uongo? Basi wewe sio wa chuga. Panda hiace za USA river to townPimped wapi mzee acha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba nilichosema ni uongo? Basi wewe sio wa chuga. Panda hiace za USA river to townPimped wapi mzee acha uongo
Weka coaster chache.That's the point sasa kibiashara ukiweka coaster aisee itakuwa loss tupu kumbuka hizo hiace nyingi ni zile zenye four wheel ambazo ni shark ni ngumu sana kwa mazingira ya chuga zinafaa ukileta hiace ya kawaida lazima ilale ndani ya miezi sita.
Aisee coaster hatalipa mie nafanya biashara ya hizi hudumaWeka coaster chache.
Kuna bajaj na bodaboda nazo zinakuwa zinasaidia.
Dar kuna coaster chache ila bajaj, bodaboda, uber, bolt, mwendokasi zote zinatoa huduma ya kusafirisha abiria na bado hizo costa zinajaza.
Hiace za ndessa ndo kdgo zko sawa zingine kawaida Sana hata mziki hamnaKwamba nilichosema ni uongo? Basi wewe sio wa chuga. Panda hiace za USA river to town
Well, turudi kwenye mada tu. Uwepo wa aina ya magari inategemea na aina ya wafanyabiashara maana sio za serikali. Hata wakiwalazimisha sanasana utaishia mgomo ambao utaathiri usafiri kiujumla.Hiace za ndessa ndo kdgo zko sawa zingine kawaida Sana hata mziki hamna
Pigeni Coster Mayai zisanye abiria. Arusha hamstahili vigari vya Malawi, Malawi ndo muwaachie hivyo vigari vya watoto wa vidudu...Malawi wanatumia Nissan Vanette na ninyi chuga mnawaiga hawa.
Sio kwamba zinaisha zenyewe inshu Ni kuamua tu Kama wanahitaji coaster ndo zipige daladala mjin kinachofanyika Ni kila hiace leseni yake ya biashara ikiisha hamna kupewa nyingine hii inakulazim mmiliki uondoe Gari yako kwa hiari tuWell, turudi kwenye mada tu. Uwepo wa aina ya magari inategemea na aina ya wafanyabiashara maana sio za serikali. Hata wakiwalazimisha sanasana utaishia mgomo ambao utaathiri usafiri kiujumla.
Wenye uwezo wa kuleta coaster waweke then may be with time hiace zitaondoka zenyewe tu kama ilivyokuwa Dar hiace ziliisha zenyewe
Halafu iwe asubuhi na kuwe na barudi + madirisha yamefungwa yaani hewa nzito sana, Arusha wengi wetu hatuogi asubuhi jameniHata hewa mnapumuliana yaani
Washkaji wanalalamika wanasema Mwz masela wanakatia gogo milimani tu huko Hahah,Hiace siku hizi zimeacha kukatisha ruti ya Kule luchelele mkuu?Mwanza itabaki kua juu
Wa hio ruti ya USA ikifika usiku wanaambiwaga ruti inaishia Tengeru.Mbovu kuliko Kimara-bonyokwa?
Vipi kuhusu nje ya mjini?
Town-Tengeru-USA-maji ya chai -kikatiti
Bado wanahitaji vile vidude vya kujikunjia?
Ukweli ni nyumbani kwetu ila kila nikifikiria usafiri inaboa:
Kuna dhana potofu kuhusu Arusha kuitwa 'Geneva ya Afrika'. Sio kwa uzuri au mandhari yake, maana Afrika kuna miji ni mizuri mara 100 ya Arusha. Sasa, kwa nini iliitwa 'Geneva'? Ili kujua, ni lazima kufahamu Geneva ina sifa gani; sifa kubwa, ni moja ya miji michache sana duniani (handful) yenye makao ya taasisi muhimu za kimataifa wakati sio makao makuu ya nchi, kama vile ilivyo NYC. Na pia ina taasisi nyingi (za kimataifa) zisizo na za kiserikali, na zile zinazoshughulikia masuala ya amani. Kwa Arusha, ni hivyo pia, angalau. Rais Clinton alipokuja mwanzoni mwa milenia alitembelea Arusha kwa sababu za kiamani, mazungumzo ya amani ya Burundi. Na hapo ndipo alipoisifu Arusha kuwa 'Geneva ya Afrika' akasema,Nimekaa chuga kwa zaidi ya miaka mitatu na nimejifunza tu kuwa kwa sasa chuga haiwezi kuhama kutoka matumizi ya vfod na kuanza kutumia costa kutokana na sababu mbalimbali kama vile
Mji umejifunga sana sehemu moja na ndio unatanuka
Mfano mtu anaweza akatembea kuanzia mwanzo wa ruti mpaka mwisho wake kwa dk 25 tu...... Chukulia ruti hiziii...Soko kuu mpaka moshono chekereni, soko kuu mpaka sokomjinga nafikir pia panaitwa engo sengeu au ruti ya soko kuu mpaka kijenge juu... Yani ruti ndefu ni zile za kutoka nje ya mji kabisa kama soko kuu kwenda usa river,,,kiufupi bado sana kutumia costa
, watu sio wengi sana maana hata hvo vfod mpaka vijaze vinaitia sana abiria kwa muda mtefu so ukiweka costa biashara itakua ngumu sana.
Pia watu wengi chuga wana usafiri binafsi na wengi wana ndinga za maana
Kuna mdau juu kaponda et kuitwa Geneva ni kujidanganya... Friend lile jiji ni location tamu sana ya utulivu na n la kuponda mali sanaaaa
Salimia hiace za Ndesa arifu.Kwamba nilichosema ni uongo? Basi wewe sio wa chuga. Panda hiace za USA river to town
BaridiHuwezi weka coster Arusha kwa ruti ipi??? Maji ya chai??? Au ipi??
Kuna ruti za dar zina umbali wa Arusha - moshi ...
Sema hopo kwenye sa tatu vinatoweka nimeelewa.... Alafu mjini kati panazidiwa hadi na kahama kwa uchangamfu mana sa 3 usiku stend ishapoa.
Mimi wakati naishi huko nilikuwa naonaga ni poa tu ila nilivyotoka nakenda Mbeya na Mwanza nikagundua Arusha ni jiji ambalo linatabia za kimanispaa ni kama hawakuwa tayari kuwa jiji. Kwa kweli Mwanza ni jiji bora sana.truely sp
truly speaking, japo naishi Arusha lkn ni jiji la kishamba sana linapokuja swala la usafiri wa umma, vipanya tena vipank everywhere. Ni vigumu kuelewa kwa sifa za Arusha na hali halisi ya usafiri.
HahassWashkaji wanalalamika wanasema Mwz masela wanakatia gogo milimani tu huko Hahah,Hiace siku hizi zimeacha kukatisha ruti ya Kule luchelele mkuu?
Ajibu bangi! za nini?[emoji2][emoji2][emoji2] akikujibu nitag