Ndio, halafu ikifika saa 3 usiku vinatoweka na kusababisha usumbufu wa usafiri tena.Aeusha bado wanatumia vihiace?
Hahaaa, eti vinatoweka, kama vinyama vile😆Ndio, halafu ikifika saa 3 usiku vinatoweka na kusababisha usumbufu wa usafiri tena.
Pia watu huko ,maji ya kuoga wanayaona kama kituo Cha polisi. Mtu anavyaa koti moja mwaka mzima halioni maji. Jiji chafu sana hiloNipo Arusha yaani hivi vi-hiace katikati ya mji ni uchafu na usumbufu katika zama hizi za uwingi wa magari.
Vinasababisha usumbufu...vinasimama popote ni vingi na kero.
Uongozi wa Halmashauri ya jiji Arusha hebu igeni majiji mengine ya Tanzania kama Mbeya na Dar walishaachana na vigari aina ya 'vipanya' katikati ya miji yao. Ninyi mmekomaa navyo.
Wekeni jiji kuwa na hadhi ya Geneva kwa kuondoa vipanya city center.
Jiji la Mbeya naona mpk mkuu wa mkoa alienda kuzindua ghorofa ya Kwanza lenye lift mkuu.Yes aisee yaani ni vingi tena vile vipanya sio hiace za high roof, high roof chache. Vipanya short roof Mbeya waliachana navyo miaka ya 2000s mwanzoni; Arusha wanatuangusha sana.
Kwanini wanaviacha? Au hakuna ruti ndefu? Maana kama mji hauna ruti ndefu inakuwaga ngumu kuweka costa.Yes aisee yaani ni vingi tena vile vipanya sio hiace za high roof, high roof chache. Vipanya short roof Mbeya waliachana navyo miaka ya 2000s mwanzoni; Arusha wanatuangusha sana.
Ila Arusha kwa hili wanatia albu, Mbeya siku hizi kumekucha majengo marefu yanaongezeka kila uchao...usafiri wa umma mkubwa safi ila Arusha wamezinguaJiji la Mbeya naona mpk mkuu wa mkoa alienda kuzindua ghorofa ya Kwanza lenye lift mkuu.
Hili jina la Geneva of Africa tulipewa kufarijiwa tu nadhani.
Dar nayo ni jiji letu lkn BBC waliliita ni Kijiji kikubwa cha wavuvi.
Majiji yetu ni changamoto kiaina.
Ndio mkuu, tena mida hiyo wakati vinaanza kutoweka vinakuwa havina vituo maalumu. Kuna siku niliudhika sana nilikuwa sijajua tabia yao hiyoHahaaa, eti vinatoweka, kama vinyama vile[emoji38]
😁😁Inasikitisha sana alafu inachekesha sanaDar nayo ni jiji letu lkn BBC waliliita ni Kijiji kikubwa cha wavuvi.
Kwanini wanaviacha? Au hakuna ruti ndefu? Maana kama mji hauna ruti ndefu inakuwaga ngumu kuweka costa.