Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

Hivi walitumia vigezo gani kuipa hadhi ya Jiji
 
Wanaogopa "uizi". USA Kuna waizi usiku labda kama siku hizi wameisha. Unakabwa unanyang'anywa hesabu ya siku nzima
 
Ninachopendea jiji la Dar ni availability ya usafiri at any time.

Mwaka jana nilifika arusha saa 8 usiku. Kuanzia tengeru mpaka nafika mianzini sijapishana na gari hata 1.

Yani mji mzimq umelala.
 
Bado Arusha ni ndogo sana ndo maana watu wanatembea.

Kingine vipato vya hao watu ni vidogo sana. Anaona akitoa 400 ni shida.
 
Hahaaa madere na makonda wengi Ni wenyeji sio rahisi hvoo
"Warume" ni noumer, hapo kipindi ya nyuma, walkua wanateka hadi gari za wazungu zinazotoka kupokea kia usiku. Wanateka barabara kama mtu ishirini na mapanga na marungu, wakiamuaga "narenduu" ni hataree. Ndo maana watu wa mawe wanatembeaga na moto Ile barabara, na wakikuotea hata moto hawaogopi[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yaan unitoe sakina unipeleke stand unirudishe tena mianzan unipeleke usa ... Nani atakubali..wengi wanaochangia humu hawajui root za arusha zilivyo
 
Hivi unajua Arusha kuwa Tanzania ilikosewa sana ingetakiwa iwe kenya life staili ya arusha ni ya Nairobi na ndio karibu tu kuliko dar masaa 4 tu uko Nairobi .usafiri unaona arusha ndio huohuo unatumika nairobi kule wanaita matatu. So usiforce tufanane njoo na gari yako kama huna pita hivi
 
Hivi walitumia vigezo gani kuipa hadhi ya Jiji
Kwa mawazo yako unafikiri kigezo kinachoangaliwa ili mji/manispaa ipate hadhi ya kuwa jiji ni usafiri wa Hiace au Coaster kwenye eneo husika
 
Mkuu nimekuelewa sana.
Vipi hapo kwenye kutoka mianzini, mount meru, sanawari, Nazareti....
Nadhani ulikuwa unamaanisha mianzini, sanawari, mount Meru......
 
Watanzania nafikiri uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo sana. Badala ya kushangaa vifodi ilibidi mjiulize ya bajaji
 
Synergy ya Arusha na Nairobi ndio impact yake huko gari haizeeki ukifirisika wewe kama bodi ipo poa pesa inafanya kazi, raha sana link ya arusha na nairoobee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…