Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Akiba maneno ni Muhimu Sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe yeye maisha kama sio kunyongwa kabisa!Hakosi 15 years in jeil
Nahisi kwao pia wana asili ya ushetaniHivi yule kijana usheitwani ule aliurithi kwa Jiwe?
Daaahhh mtu mwenye akili timamu anaweza kuwa vile?
This time atakula jeuri yake!!Kijana aliyekuwa na kiburi cha madaraka😑
Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).
Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.
=========
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya Unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya na wenzake wawili.
Sabaya na wenzake wanatuhumiwa kutenda makosa hayo February 9 mwaka huu katika duka la Saad store linalomilikiwa na Mohamed Saad lililopo katikati ya jiji la Arusha wakidaiwa kuvamia na kupora wakitumia silaha.
Kesi hiyo iliendeshwa mfururizo takribani siku 35, mbele ya hakimu mkazi mwandamizi Odiro Amworo kutoka mkoani Geita, ambapo upande wa serikali uliwasilisha mashahidi 11 na vielelezo kadhaa, hivyo Leo kesi hiyo inatarajia kufikia tamati kwa kutoa hukumu kwa washtakiwa hao watatu .
Washtakiwa wengine wanaotarajiwa kuhukumiwa hapo kesho ni Silvester Nyegu na Daniel Mbula
==========![]()
UPDATE:
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.
Hukumu imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021
Tuma salamu kwa watu watatuHawawezi kumfunga
TeteteteeTuma salamu kwa watu watatu
Mbali na miaka 30 aliyokwisha kuipata, leo tena anapanda kizimbani kwa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa. Nadhani leo atapanda na suti yake mpya.Hawawezi kumfunga
Hapana hawezi kupekwa magereza na uniform atavaa kiraiaMbali na miaka 30 aliyokwisha kuipata, leo tena anapanda kizimbani kwa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa. Nadhani leo atapanda na suti yake mpya.
Nadhani ulimaanisha "mahakamani"Hapana hawezi kupekwa magereza na uniform atavaa kiraia
Asante mkuuNadhani ulimaanisha "mahakamani"
Uko sahihi.