Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayri imeota mbawa..Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).
Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.
=========
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya Unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya na wenzake wawili.
Sabaya na wenzake wanatuhumiwa kutenda makosa hayo February 9 mwaka huu katika duka la Saad store linalomilikiwa na Mohamed Saad lililopo katikati ya jiji la Arusha wakidaiwa kuvamia na kupora wakitumia silaha.
Kesi hiyo iliendeshwa mfururizo takribani siku 35, mbele ya hakimu mkazi mwandamizi Odiro Amworo kutoka mkoani Geita, ambapo upande wa serikali uliwasilisha mashahidi 11 na vielelezo kadhaa, hivyo Leo kesi hiyo inatarajia kufikia tamati kwa kutoa hukumu kwa washtakiwa hao watatu .
Washtakiwa wengine wanaotarajiwa kuhukumiwa hapo kesho ni Silvester Nyegu na Daniel Mbula
![]()
Ameshinda tayari, ukiona hairisha hizi ujue tayariTayri imeota mbawa..
Imeahirishwa hadi 15/20/2021
Hapo ndipo huwa nachoka mahakimu wetu.
Au hukumu ina andikiwa kutoka juu??
Kada mwenzako huyoNa asulubiwe, asulubiwe, kijana mpuuzi sana Sabaya
Msaada Mkuu,Tayri imeota mbawa..
Imeahirishwa hadi 15/20/2021
Hapo ndipo huwa nachoka mahakimu wetu.
Au hukumu ina andikiwa kutoka juu??
Arudishwe Hai akapinge kazi DC makini Sana kule mbowe analiwa mvua ya kutoshaNasikia kesi ya Sabaya imehairishwa, ukiona hivi ujue kashinda kunakuwa na kigugumizi kutoa uozo kuhofia reaction ya watu........ wana beep ili watu waanze ku absorb shock taratibu maana wameshakuwa sensitized kuwa the unlikely is happening
Kada mwenzako huyo
Tate mkuu nitakutafuta siku hiyo ikifika na tukiwa hai! Zumbe Mkuu... hbari za Muheza, Tuheza...Jambazi anashindaje kesi huku kukiwa na kila aina ya ushahidi wa kumtia hatiani?
Sana, experience and observation in such matters tell it allHili nalo nila msingi?
sijakupata, kwenye Hairisha? sijui kama ni hivyo nawambia mods warekebishe.. aishisha au hairisha, more eleboration pleaseKwanini lakini baadhi yenu mnatumia neno H mbele ?
Inakera kwa mtu anaejua kusoma na kuandika halafu unaandika kwa makusudi kabisa
Au ni lugha mpya
Wewe jamaa unatafuta ban kwa kasi sanaViifurushi Bei ndogo sana,
kuanzia GB 85 Miezi 3 Hadi GB 390 kwaMiezi 12, kukiwemo na dakika zakumwaga mitandao Yote,
Pia Nakuunga na vifurushi vya AZAM Tv MIEZI 3
DSTv MIEZI 3
STARTIMES MIEZI 3
UNAPATA CHANEL ZOTE KWA PAMOJA
PIA TUNAHACK MESSAGE & CALL
+1360-351-4868
Unaweza kumwadhibu mwanao kwa kosa ulikomtuma?Jambazi anashindaje kesi huku kukiwa na kila aina ya ushahidi wa kumtia hatiani?